"You are not my type"


watoa kauli ya wewe sio type yangu huwa hawajiamini wanajaribu kujifariji tu maana kamawako juu ki hivyo walikuwaje hadi kuwa na huyo? tena mtu anayesema hivyo ujue uko juu zaidi yako moyoni anakukubali mbaya
 
Haipendezi kabisa kumtakia mtu maneno kama hayo,hujafa hujaumbika binadamu humkuta chochote muda wowote .Kama mtu umemchoka au humtaki kuna maneno ya kutumia na ukaeleweka vyema.
 
Mimi niliambiwa, tena kwa jeuri na dharau akaniambia labda dada yangu ndio type yangu, ,, ila anajutia kuniambia hivyo kwani mpaka leo ana mapengo.
 
Haipendezi kabisa kumtakia mtu maneno kama hayo,hujafa hujaumbika binadamu humkuta chochote muda wowote .Kama mtu umemchoka au humtaki kuna maneno ya kutumia na ukaeleweka vyema.
Unaweza ukatukanwa na kuambiwa maneno mazito ukawa na moyo wa kuvumilia kusamehe na kutake easy....

Ila ukaambiwa neno dogo kama hilo likakamata moyo wako kwa namna flani ukabaki kujiuliza huyo aliekwambia hivyo ana nini cha zaidi?

Kuna tu maneno tu dogo dogo ila vinaweza kujenga ufa moyoni kwa mtu. Na sanyingine anaweza asikwambie hapohapo. Muhimu ni kuchunga sana kauli zetu
 
we unamwacha baada ya kuhakikisha umepata ulichokuwa unakitaka! Umesema akishakolea ndo unamwacha!
Hahaha ndio sasa kwani kumkoleza na yeye si anafaidi au mimi mwenyewe ,sasa dada ulitaka nimwache kabla sijamkoleza aishie kuniita mwanaume suruali
 
Hahaha ndio sasa kwani kumkoleza na yeye si anafaidi au mimi mwenyewe ,sasa dada ulitaka nimwache kabla sijamkoleza aishie kuniita mwanaume suruali
Mmh
U knw wht u mean!!!
Nway,lets end the topic kaka!
 
Thanks Nifah you too, watu wengine wana muda wa kupoteza na kuendelea kujipa stress zisizohusu kitu.

 
Dah sijawahi ambiwa ila i can feel it.kama msumari wa moto
 
Ishanitokea kwa huyu jirani angu.....
Anadai mm mtoto, mara mi muislamu ye mkristo ila angenambia tu kuwa "am not her type"

ila nishasema ipo Day atanielewa tu ngoja nikaze moyo nipige chapaaa
 
Kwnn hatupendi ukwl jmn... Hlo neno nahisi mnalipa tafsiri tofauti.... Hahahahaaaa....not being of somebody's type has a broader meaning not the single meaning many are trying to define. Let's get out of the box and think wide...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…