You are broke kwasababu hii moja. Acha kujidanganya na chanzo kimoja cha income. You are not safe

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Greetings JF massive.

Ni siku nyingine tunakutana tena ambapo kama kawaida nakupatia darasa jinsi unavyoweza kutengeneza pesa

Huu uzi nimeandika baada ya kusoma uzi huu

Leo nitashare hapa uzoefu wangu jinsi unavyoweza kutengeneza mirija ya income ili siku zote uwe na pesa

Trust me watu wengi wana pesa kwa kipindi tu. Leo ana laki tisa, baada ya wiki tatu hana hata kumi. True story. Watu wengi hapo hivi hasahasa walioajiriwa.

Sasa kwa akili ya haraka unaweza sema aaah hiyo ni kwasababu labda mahitaji ni mengi au labda kutumia pesa hovyo. Hiyo inaweza ikawa kweli lakini leo nataka nikuonyesha sababu nyingine nzito kwanini hauna true financial freedom.

Unajua pesa ni muhimu sana. Sasa ukiwa hauna pesa wewe ni mtu wakulia shida kila baada ya siku au wiki chache inakuwa kero kwako lakini pia kwa watu wote unawaomba omba pesa hovyo

Na niseme tu ukiwa mtu wa namna hii utapata tabu sana kwenye relationship na watu. Kwasababu watu watakuona kero na watasema sisi tunashida zetu tusikilize zako kwanini.

Sasa leo nataka nikupatie mbinu jinsi yakuhakikisha unapata true financial freedom.

Ok.

Mbinu ni kuwa na vyanzo vya mapato zaidi ya viwili.

Yes you heard me right.

Average millionaire ana vyanzo vya mapato saba (7)

Iwapo chanzo kimoja kitayumba (kwasababu lazima matatizo yatatokeaa tu) au biashara kufilisika basi kuna vyanzo vingine.

Hii ndiyo true financial freedom.

Kwamba huwazii itakuwaje kama chanzo chako kimoja kikikwama itakuwaje?

Huwezi niambia kwasababu una ajira unalipwa milioni mbili basi uko vizuri.

You are wrong my friend.

Time inakuja (tena si mbali) hiyo ajira yako moja unayoitegemea itayeyuka na utashika adabu yako.

Inabidi uwe na protection mechanism chanzo kimoja kikifungwa unachanzo kingine chakutengeneza pesa.

Kamwe usitegemee chanzo kimoja. Hata kama unalipwa lots of money.

Sasa hapa nakuonyesha vyanzo kumi unavyoweza kutengeneza pesa mbali na source ya income uliyonayo sasa.

1 • Consulting services

Hii ni njia poa sana yakutengeneza side income sema watu vile hawafahamu tu.

Wewe unaujuzi au unafahamu mambo fulani na wapo watu wanahitaji ushauri/mafunzo kutoka kwako halafu unalia shida?

Fungua macho.

Huitaji sijui kufungua kampuni au nini.

Ask people to pay you kila mara wanapotaka maarifa toka kwako.

I make good money from consulting services. Tena toka hapa hapa JF.

2 • Fanya kazi kama Online freelancer.

Yes.

Unaweza tengeneza pesa nzuri tu ukifanya kazi kama Freelancer.

Binafsi side income ninayotengeneza kwa kazi zangu kama Freelancer natumia kulipia rent sehemu nakaa $200+ a month.

Kuna majukwaa mengi unaweza jiunga kama vile upwork, fiverr, freelancer.com

Lakini inabidi ujifunze kwanza. Na ninakaribisha yoyote anayetaka nimsaidie.

Huyu ni mmoja ya niliowasaidia. Hii ilikuwa january.

IMG_9400.JPG



3 • Dropshipping.

Hapa niseme tu inabidi uwe committed kwasababu dropshipping is not for the weak heart. It takes time. Lakini ninaweza sema ni opportunity nzuri kwasababu tunapoelekea watu wengi wanakuwa comfortable kufanya manunuzi mtandaoni. Sasa kama ukifanya hii mambo vizuri chances are you will make big money.

4 • Fanya kazi kama local tour guide (part time)

Hapa JF kuna dogo alikuwa anataka kufahamu jinsi yakutengeneza pesa. Ilikuwa December mwaka jana 2019.

Nikampa assignment yakutengeneza pesa mara moja.

Nilimwambia inabidi aweke woga pembeni aandae tour kwenda Bagamoyo (he lives in Dar).

Mwanzoni alisita lakini nikamwambia ni rahisi tu. Unachotakiwa ni kuwa na organization skills.

Guess what?

Alifanikiwa kuandaa tour ya Bagamoyo kwa mara ya kwanza and he made money .

IMG_9399.JPG



Hapa Point ni kufanya na si kufikiria sana itakuwaje.

Binafsi I work as tour guide.

Nimefanya kazi, nimekutana watu from all over the world. Wengine ni professors wa vyuo vikuu mbele na wengine ni drug addicts from Hawaii.

5 • AirBnB Business.

Najua kuna ambao hawafahamu kuhusu AirBnB.

AirBnB ni app inayomwezesha tourist au mtu yeyote yule kufanya booking ya apartment/chumba/nyumba yako na kukulipa pesa.

AirBnB ina pesa kwasababu wageni saahivi wanakimbia hotel au lodges kwasababu ni ghali sana.

Hapo kwako kama una chumba cha ziada unaweza kuanza AirBnB mara moja.

Angalia pesa niliyotengeneza Jan na Feb 2020

IMG_9368.JPG


Ok kwa leo naomba niishie hapa.

Nitumaini langu utafanyia kazi moja ya idea nilizotoa hapa.

Cheers 🥂
 
"Time inakuja (tena si mbali) hiyo ajira yako moja unayoitegemea itayeyuka na utashika adabu yako."

Umeongea ukweli unaouma,kuwa na chanzo kimoja cha mapato ni janga

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa mkuu.

Kwamfano mimi ningekuwa nategemea toursim na AirBnB pekeyake ningepata shida sana kipindi hiki cha covid 19.

Give thanks I have more than one source of income. I’m good
 
Dah nakumbuka termination yangu September 2019 ... Machoz yanatoka japo nishachukuaga hela zangu NSSF dah ... Per month nilikuwaga nachukua 500k up to 770K
"Time inakuja (tena si mbali) hiyo ajira yako moja unayoitegemea itayeyuka na utashika adabu yako."

Umeongea ukweli unaouma,kuwa na chanzo kimoja cha mapato ni janga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro how about wanavyuo wanasoma den unajuag ratiba za masom zilivyo huku test mara assignment unafikiri business ipi wanaweza fanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una computer chuo tafuta printer, tafuta mahali hata hapo gheto kwako kama sio mbali na chuo, fanya kazi, wazee wa headline copy na ku paste assignment unawapandishia kidogo, chips take away, nguo za wadada n.k.
 
Nilikuwa nauliza kwani kuajiriwa ni vibaya?

Maana kuna watu wametimiza ndoto zao kupitia ajira. #Tusidanganyane
 
Back
Top Bottom