You are a best loser

You are a best loser

Pale mwenye bahati anapojiona ana akili sana na formula zake zimemfikisha alipo na waso bahati wote hawana akili. MAHUSIANO YA LEO TUOMBE MUNGU SANA.
 
Pale mwenye bahati anapojiona ana akili sana na formula zake zimemfikisha alipo na waso bahati wote hawana akili. MAHUSIANO YA LEO TUOMBE MUNGU SANA.
Usikonde ipo siku na wewe utabahatika lakini jipange bahati hiyo itakapokuja kwako iwe kwa ajiri yako na sio kupita kwenda kwa mwingine
 
Mzee baba.. umeongea na mimi!!
na nimekuelewa
ukweli uo mchungu ila sasa ndo dawa

sio kwamba nilikua sijui ila when love takes over vitu kama hivi sijui kwa nini ni rahisi kusahau.. Yes nilikosea, makes pain to myself and for the moment i just learn yani i learn on how not to regret for that but not till i read this.

You make me remember what i suppose to.. your blessed!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom