Yote Tisa:Kumi, Ni Ushindi wa Fikra Zenye Nguvu Dhidi ya Fikra Dhaifu

Ushindi wa kwanza kuelekea katika UKOMBOZI WA KWELI, hoja zao za kulazimisha. na kituko cha Samweli Sitta kujigeuza tume, UNAFIKI WA MAKUNDI kupeleka maoni yao sasa, hatimaye umegeuka kuwa KUJIVUA NGUO MCHANA MBELE YA WATOTO.
 
Tutaweza kufanikisha mchakato huu kupitia serikali ya chama kingine kabisa tofauti na ccm mwaka 2015 to 2020. Ujinga waliouonesha ccm si wakuisha katika kipindi cha miaka 20 ijayo. Sidhani na hakuna atakaye nifanye kukubaliane naye. Hawa watu wamejaa ukale utakao ligharimu taifa kiasi kikubwa cha umaskini miaka mingi. Ni waroho wa madaraka na uchu wa utajiri kwa kutumia ulaghai wa aina zote chini ya jua. They are more than hypocrites. Ni watu wasiojionea huruma na hawaonei huruma watoto wao hata vizazi vinavyokuja.

una amin mkono unaoning'inia ipo siku utadondoka? kwahiyo fisi anaacha msosi njian anajipa matumaini ya kumfuata binadam akisubiria adondoshe mkono? uchaguz mdogo na helicopter 3 viti 3-then unafikiria kuandika katiba utakapotawala, kwel? chama kina mihogoro na mpasuko mkubwa yet unafikir kuandika utakaposhinda uchaguz, kwel? nadhan kuna hali ya kutokujitambua
 
USITAKE KUMTUKANA RAIS WAKO KUWA NAYE NI JUHA KWA KUUNGA MKONO HOJA "ZA WAPENDA NCHI" kuwa makini sana KASHESHE NA WAFUASI WAKO
 
Tutaweza kufanikisha mchakato huu kupitia serikali ya chama kingine kabisa tofauti na ccm mwaka 2015 to 2020. Ujinga waliouonesha ccm si wakuisha katika kipindi cha miaka 20 ijayo. Sidhani na hakuna atakaye nifanye kukubaliane naye. Hawa watu wamejaa ukale utakao ligharimu taifa kiasi kikubwa cha umaskini miaka mingi. Ni waroho wa madaraka na uchu wa utajiri kwa kutumia ulaghai wa aina zote chini ya jua. They are more than hypocrites. Ni watu wasiojionea huruma na hawaonei huruma watoto wao hata vizazi vinavyokuja.

Ndugu yangu nchi hii imeoza! Yaliyo endelea baada ya rasmu ya pili ni aibu yetu sote. Niungane na mkuu mmoja hapo juu kwamba ndio sababu wenzetu ktk EAC wametuacha tuendelee na ujuha wetu! Wajumbe waliobakia Bungeni wamelifedhehesha na kuliibia Taifa! Kuanzia Wanasiasa,Wasomi na Viongozi wa Dini na Taasisi za Kijamii wameonyesha uroho wa ajabu wa pesa badala ya kutumikia Taifa tena Masikini!
 
Ikiwa itatokea mchakato ukasitishwa na baadae kuanza upya basi usihusishe kabisa wanasiasa, wananchi wahusike moja kwa moja pamoja na makundi mengine. Politician wanatengeneza katiba kwa kuangalia maslahi na namna kuendelea kuitafuna nchi yetu.walichotaka kufanya CCM kwny mchakato huu vizazi vijavyo vingechapa fimbo makaburi yao.
 
Heri nusu shari kuliko shari kamili. Humu leo huwezi kuona mchango wa MSALAN,FAIZAFOXY,SIMIYU YETU and other Lumumba team,they are now regreting.
 
Tunachekelea mambo kama majuha ukweli ni kwamba ndio tumeahirisha katiba mpya hadi 2021!!! katiba huwezi ku-implement ndani ya muhula wa uongozi kwa kiasi kikubwa... indeed EAC members wakisema tunapenda kujivutavuta hii ni uthibitisho wa utamaduni wetu duni.

Bora tujivute kuliko kuangukia pua,
 
wewe ni mzalendo wa kweli, akina mwanakijiji wanataman aina ya Serikal itakayowawezesha kufika Ikulu haraka sio maendeleo ya wananchi. mtu anayeweza kuelezea mapungufu ya katiba ya sasa ukiachilia 2/3/4 .....ikilinganishwa na athar za kuahirisha aje hapa na aelezee na tusibishane kijuha kama tupo kwny mbege

Dah madaraka ya rahisi tatizo
 
Watu wanadhani ni rahisi kutengeneza katiba mpya.

Mchakato wa kutengeneza katiba mpya hautafanikiwa kama wanasiasa na wananchi hawatakubaliana katika mambo ya msingi.

Kutengeneza katiba mpya inahusisha mashahuriano na ushiriki wa umma.

Katika mchakato huu kulikuwa hakuna mashauriano wala ushiriki wa umma.

Kutengeneza katiba ni sawa na kujenga nyumba. Ukitaka kuwa na nyumba imara, lazima uwe na msingi imara.

Pia kabla ya kuanza lazima ujiulize maswali ya what, why, how, who, when na where.

Huu mchakato wa katiba mpya ulitakiwa ufutwe kabisa na siyo kusitishwa kwa sababu haukutakiwa kuwepo in the first place.

Ila kwa sababu tayari fedha za walipa kodi zimeshaliwa kwa kupiga tuu porojo hapo Dodoma ndo wanaona aibu kuufutilia mbali.

Mchakato wa katiba mpya hauna tofauti na skendo nyingine kama zile za Richmond, EPA, IPTL na nyinginezo.

Umekuwa kama project fulani hivi ya kujiongezea kipato kwa wale mnaowaita "wawakilishi" wenu.

Lakini kwa jinsi ninavyowaelewa Watanzania, hili nalo litapita, hakuna atakayehoji gharama zilizotumika katika mchakato huu mbovu ambao baadhi yetu tulisema hata kabla ya kuanza kuwa hauifai.

No wonder siku hizi kila mtu anapenda kuwa kiongozi wa siasa. Ni ulaji kwa kwenda mbele bila kuwajibika.
 
Na huko mbeleni wanasiasa wasiwe kwenye hilo bunge. Lijumuishe 'technocrats' na wawakilishi wa wananchi wasiyo wanasiasa
 
Effect ya kuahirisha till 2021 ni kubwa sana! kwa maana nyingine tumekubaliana kwamba katiba ya 1977 Twende nayo hadi 2021 Maskini waTanzania tumekuwa maskini wa mali na akili pia! Yapo mengi zaidi ya Serikali 2/3/4/7 yangetupeleka mbele!

In short hiyo katiba ya serikali 2 mpya tungeenda nayo na mambo mengine mazuri yaliyojadiliwaa ... lakini by 2021 Tungekuwa na uzoefu zaidi wa ku-confirm serikali 3 au kubaki na mbili kiulaaaaaaini... lakini sasa tumechagua loose-loose situation simply I regret... tumechemka.
Kwa kupuuza mawazo wa Wananchi,ni heri tusubiri tu mpaka tutakapokuwa tayari na mpaka Magamba watakapojifunza kuwa kuna maswala mengine ya msingi hayahitaji ubabe wa kipuuzi.Na kwa kushindwa kupata Katiba muda huu,Sitta historia itamuhukumu,Shame on you Sitta.
 
siyo ajabu hata waitwao wajumbe wa BMK wanachangia kwa mitusi hapa maana UMAARUFU WA REJAREJA hakuna tena nafasi.Mwanakijiji usishangae sana TAIFA hili linao pia waliovaa ujinga na kuushabikia maana katikati ya ujinga kama huu wanapata MKATE WA KILA SIKU!
 
Vyombo vyetu vya habari vitaandika katiba mpya mpaka Baada ya 2015 lakini ukweli halisia katiba mpya itakuwa mpaka 2021.... As a nation UKAWA and CCM selected loose-loose scenario... Kwenye hili tumechemka big time and time will tell...

Mkuu una maslahi gani katika katiba mpya! Naona unamajonzi sana
 
....ccm huwa wanafanya mambo yao kwa short sight ya ajabu sana....yaani wanaangalia matumbo yao kwanza kabla ya yote...na hili ndilo limetufikisha hapa kama taifa....ubinafsi wa kupitiliza wa watu hawa...sasa ni bora kuahirisha mchakato huu ...maana hawa majamaa wa ccm wameshaufanya mradi wa kuganga matumbo yao..inasikitisha sana...

...sasa wale UKAWA waliotoka bungeni watakua mashujaa....maana hawa ccm wamewabeza na kuwakejeli kwa nguvu zote...

My take:

..Kitendo chochote watakachofanya ccm kupinga marekebisho ya msingi ya katiba ya sasa kichukuliwe kama uasi kwa taifa hili....na iwe tiketi ya kuwatoa ccm madarakani mwakani.....Huku kuahirishwa kwa bunge la katiba(kama kutatokea)kuwe mwanzo wa anguko la haya majizi ya ccm......Kenya walianza hivi hivi...na hatimaye KANU iliondolewa madarakani....ccm hawatalikwepa hili...hata wafanyeje.....maana watanzania wanaamka kwa kasi ya ajabu....huku wakijua anaewatia umaskini ni ccm....
 
wewe ni mzalendo wa kweli, akina mwanakijiji wanataman aina ya Serikal itakayowawezesha kufika Ikulu haraka sio maendeleo ya wananchi. mtu anayeweza kuelezea mapungufu ya katiba ya sasa ukiachilia 2/3/4 .....ikilinganishwa na athar za kuahirisha aje hapa na aelezee na tusibishane kijuha kama tupo kwny mbege

Wawezaje kuchochea maendeleo ya wananchi bila kuwa na Taasisi imara zenye kuwajibika kwa wananchi? Katiba ya sasa imerundika mamlaka na madaraka kwa mtu 1 tu hali inayozorotesha tija na ufanisi wa serikali. Tunahitaji mfumo tofauti na wa sasa, utakaosaidia ugatuzi wa madaraka kutoka serikalini.
 
Back
Top Bottom