Tutaweza kufanikisha mchakato huu kupitia serikali ya chama kingine kabisa tofauti na ccm mwaka 2015 to 2020. Ujinga waliouonesha ccm si wakuisha katika kipindi cha miaka 20 ijayo. Sidhani na hakuna atakaye nifanye kukubaliane naye. Hawa watu wamejaa ukale utakao ligharimu taifa kiasi kikubwa cha umaskini miaka mingi. Ni waroho wa madaraka na uchu wa utajiri kwa kutumia ulaghai wa aina zote chini ya jua. They are more than hypocrites. Ni watu wasiojionea huruma na hawaonei huruma watoto wao hata vizazi vinavyokuja.

Tunachekelea mambo kama majuha ukweli ni kwamba ndio tumeahirisha katiba mpya hadi 2021!!! katiba huwezi ku-implement ndani ya muhula wa uongozi kwa kiasi kikubwa... indeed EAC members wakisema tunapenda kujivutavuta hii ni uthibitisho wa utamaduni wetu duni.
wewe ni mzalendo wa kweli, akina mwanakijiji wanataman aina ya Serikal itakayowawezesha kufika Ikulu haraka sio maendeleo ya wananchi. mtu anayeweza kuelezea mapungufu ya katiba ya sasa ukiachilia 2/3/4 .....ikilinganishwa na athar za kuahirisha aje hapa na aelezee na tusibishane kijuha kama tupo kwny mbege
Bora tujivute kuliko kuangukia pua,
Kwa kupuuza mawazo wa Wananchi,ni heri tusubiri tu mpaka tutakapokuwa tayari na mpaka Magamba watakapojifunza kuwa kuna maswala mengine ya msingi hayahitaji ubabe wa kipuuzi.Na kwa kushindwa kupata Katiba muda huu,Sitta historia itamuhukumu,Shame on you Sitta.Effect ya kuahirisha till 2021 ni kubwa sana! kwa maana nyingine tumekubaliana kwamba katiba ya 1977 Twende nayo hadi 2021 Maskini waTanzania tumekuwa maskini wa mali na akili pia! Yapo mengi zaidi ya Serikali 2/3/4/7 yangetupeleka mbele!
In short hiyo katiba ya serikali 2 mpya tungeenda nayo na mambo mengine mazuri yaliyojadiliwaa ... lakini by 2021 Tungekuwa na uzoefu zaidi wa ku-confirm serikali 3 au kubaki na mbili kiulaaaaaaini... lakini sasa tumechagua loose-loose situation simply I regret... tumechemka.
Vyombo vyetu vya habari vitaandika katiba mpya mpaka Baada ya 2015 lakini ukweli halisia katiba mpya itakuwa mpaka 2021.... As a nation UKAWA and CCM selected loose-loose scenario... Kwenye hili tumechemka big time and time will tell...
Hivi sitta ataendelea kukomba ile posho ya mil. 150? Kinachoendelea dodoma ni uhalifu kama wahalifu wengine! Katiba mpya ni ndoto chini ya utawala huu!