Yoriyori anabisha

Yoriyori anabisha

Yoriyori

Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Nafurahi kuwa mmoja wa wanafamilia hii. Ni familia ya wasomi, familia ya wastaarabu, familia ya wazalendo na ya watu wenye mshikamano. Nipokeeni wapendwa
 
Karibu kwa mikono miwili hapa ndio Jf utapata kila kitu. Haa nilitaka kusahu hivi Yo Yo = Yoriyori au nimekosea?
 
Karibu kwa mikono miwili hapa ndio Jf utapata kila kitu. Haa nilitaka kusahu hivi Yo Yo = Yoriyori au nimekosea?

Huyo yoyo ndio nani mimi simjui mwaya, mimi ni mgeni hapa japo nimekuwa nikisoma mara kwa mara mijadala yenu
 
Huyo yoyo ndio nani mimi simjui mwaya, mimi ni mgeni hapa japo nimekuwa nikisoma mara kwa mara mijadala yenu

Utamjua tu maadam umeshaingia tayari maana Yo Yo hajaonekana kitambo ndio maana napata wasiwasi. BTW karibu sana
 
Back
Top Bottom