Yondo Sister: Malkia wa soukous

Inatutesa sana kwa kweli. Mimi ndio na_recover hapa.
Hiyo hamna ku recover. Hapo ni kama ipo flight mode. Yani imejizima data. Siku ukigusisha tu hiyooooo.

Vidonge vya siku hizi ni kama wanatengeneza permanent customers na sio permanent solution
 
Dah! Miaka inakimbia sana. Miaka ya 1993-94 Yondo Sister alikuwa ni habari ya mjini kwenye Video shows zilizokuwa zinakuja kijijini kwangu. Enzi hizo kiingilio ni shilingi 50 watoto, halafu wakubwa 100!

Kabla ya kuoneshwa picha kuu ya siku (mfano No retreat no surrender, Comandoo John, au zile muvi za Kichina za Shaolin Temple), tulikuwa tunapigwa na trailler kutoka kwa akina Aurlus Mabele na Loketo yake, Yondo Sister na Soukouss Stars, Pepe Kalle na Empire Bakuba, Boziboziana, nk.

Kwa kweli maisha yalikuwa ni matamu sana enzi zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…