Yona na Mramba kufanya kazi ya kupiga deki ndio nini?

amanij

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
353
198
Hawa walikuwa ni mawaziri na wasomi.
Moja katika hili la kuzingatia kuwa hawa ni wasomi.
kwanini wasipelekwe kwenye taasisi ambayo wangeweza kutumia elimu yao kwa kunufaisha taifa .

Kama ni adabu basi hata kusomesha skuli bila ya malipo hiyo ni adabu na huku faida inapatikanwa.
Pia inge wezekana kupewa kazi kwa mfano kuwasaidia vijana kwenye ngos au taasisi nyengine ili kukuza uelewa na uzalishaji?

Na wasilisha hoja
 
Mimi pia nafahamu kuwa sheria ndio imewafikisha kufagia. Ila kiutu, nimeumia sana hata kama sifahamiani nao
 
Hiyo ni adhabu tena kali kwa watu wa hadhi yao na fundisho kwa wengine . inatia huruma sana kwa watu wa hadhi hii kurudi mpaka kufikia hapo wakati waliowatuma wanapeta tuu.
 
Back
Top Bottom