hahahahaa........asante mpendwa.wakuu ni kwamba hii sms nimetumiwa na mpendwa na nilipotaka kupata taarifa zaidi toka kwake kaniambia naye ameipata toka kwa mpendwa mwingine akimsisitiza aombe kwa ajili ya hyo hali, na nikaona kupata habari za uhakika ni bora niifikishe humu jamvini kwanza kabla sijachukua uamuzi wa kui-"foward" kwa wapendwa wengine ili hata wakiniuliza maswali kama haya mnayoniuliza wakuu niwe na cha kuwajibu.
Naamini humu jamvini kuna watu wanaotoka yombo na viunga vyake au wanaweza wakawa wamepata taarifa kwa undani zaidi kuliko tetesi nilizo nazo, naomba wenye taarifa za ukweli kuhusu tetesi hii watueleze
Mbarikiwe wapendwa.
Kumbe wakuu wa mfumokristo wamesubiri Kikwete mpaka aende Oman ndipo wakamate ndugu zake!.Tulikuwa tunamlaumu Kikwete kumbe sio mbaya kiasi hicho.Tumefikia pabaya sana! Ilianza kidogo kidogo hivi hivi kote kulipotokea vita! Kikwete anakula urojo na halua oman, i hate kikwete, i hate ccm! Rais gani asiye na maamuzi, rais yupo yupo tu. Nadhani body yake pia inamfanya anakuwa dhaifu kwenye kufikiri, ukishamuona rais anapanda bembea na mkewe, jua kazi ipo! Aanze gym, afanye mazoezi ya kidume, labda atapata moyo wa kuamua kwa busara! Rais dhaifu katokana na mwili legelege!
Misikiti ina nini cha thamani Mkuu?
mkuu mpigia simu aliekutumia sms akupe mkanda kamili..
nimepiga simu mbili tatu kwa sababu ndo kanisa nalosali naona sio hapo ila naambiwa ni kanisa la assemblies lililopo karibu na petrol station ya njia panda ndo kuna vurugu imetokea nazidi fatilia nitakufahamisheni
Tumefikia pabaya sana! Ilianza kidogo kidogo hivi hivi kote kulipotokea vita! Kikwete anakula urojo na halua oman, i hate kikwete, i hate ccm! Rais gani asiye na maamuzi, rais yupo yupo tu. Nadhani body yake pia inamfanya anakuwa dhaifu kwenye kufikiri, ukishamuona rais anapanda bembea na mkewe, jua kazi ipo! Aanze gym, afanye mazoezi ya kidume, labda atapata moyo wa kuamua kwa busara! Rais dhaifu katokana na mwili legelege!
Kumbe wakuu wa mfumokristo wamesubiri Kikwete mpaka aende Oman ndipo wakamate ndugu zake!.Tulikuwa tunamlaumu Kikwete kumbe sio mbaya kiasi hicho.
Sidhani, kwa wewe ungekuwa labda ohio, au uwanja wa fisi au pale Kimboka.Kama ni kweli inasikitisha sana!!!
Mungu gani huyo wa kufanya uharibifu.....?? nawashukuru wazazi wangu kwa kunipeleka shule vinginevyo na mimi ningeshapewa buku kama ujira wa kuchoma makanisa
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Kwani nyinyi mnasali au mnaimba?.
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini
Sidhani, kwa wewe ungekuwa labda ohio, au uwanja wa fisi au pale Kimboka.
Kuchoma makanisa au kazi za vurugu zinahitaji msuli wewe huna.