Yna2 ndio Chombo ya Fundi

Yna2 ndio Chombo ya Fundi

Mkuu naomba kwenye remix unishirikishe na mimi niweke mistari yangu

Yna 2 mtoto mkali embu legeza

Zero IQ chakali umemuweza

Kabla hajakupata anaogopa kukupoteza

Nguvu anazo hatari, zikipungua atabusti na pweza

Don't let me down my shemela
Kwenye hiyo remix, nami niongeze kwenye hiyo list, maneno matamu niyatoe kwa huyo mrembo yani kiufanisi
Tafu kwa brother kaka,
Zero IQ,
usihofu huyo mrembo utampata,
wandewa tushatia nanga,
Ili back up iwe ya faster

Comments zako zinamfanya awe hoi, pliz Yna maa muelewe wetu boi, Zero IQ kwako hakohoi, mpe nafasi bila wasi akupe kasi ya mapenzi na mta' enjoy
 
Noma sana lazima iwe hit song asee
 
Tatizo hela hana!
 
Back
Top Bottom