Yna2 ndio Chombo ya Fundi

Yna2 ndio Chombo ya Fundi

Kua chombo ya fundi sio shida..shida ni kwamba fundi hajawai tengeneza chombo chake kikakamilika,..

fundi wengi wanasubiria mteja akibadili spear ndio achukue ile iliobadilishwa(mbovu) akapachike kwenye chombo chake[emoji23][emoji23][emoji23]

Be careful Madame!
 
Tatizo hela hana!
Pesa inatafutwa, muhimu ni kufaana utu wa pesa mbele kujuta, harakati za mweusi daily zinafufuka, brother IQ kaza buti vigingi utavivuka.

Najua na unajua, akiendekeza pesa mbeleni atazingua, huu ni mda wa wali hatuhitaji ugali wa mtama, anapenda pesa yeah mwache aendelee na zake drama

Zero IQ
 
Pesa inatafutwa, muhimu ni kufaana utu wa pesa mbele kujuta, harakati za mweusi daily zinafufuka, brother IQ kaza buti vigingi utavivuka.

Najua na unajua, akiendekeza pesa mbeleni atazingua, huu ni mda wa wali hatuhitaji ugali wa mtama, anapenda pesa yeah mwache aendelee na zake drama

Zero IQ
Konk master
 
Mtabiri aliwahi kusema ukiona mwanaume anaanza kutumia maneno mazur mazur na kutia tia huruma huku akijifanya mwaminifu kwa mwanamke wake ujue wallet imeyumba au kuna kosa kalifanya so anatengeneza mazingira ya kujinasua.
 
"Ye ndio Chombo ya fundi mi naitengeneza ,sina shaka kwenye spea mi namwaga fedha,ananifanya fanya nakesha huku nasaka saka mapesa ,sitaki apate tabu nami namdekeza, akinipa nacheza game huku namchombeza siwezi kuishi na demu mwingine zaidi yake,"


yna2 baby i can't live without you hilo naomba utambue,kila nikiwa napika kiepe yai pale ninapokigeuza naona kwa mbali sura yako pamoja na tabasamu lako zurii lenye muonekano wa kimalaika,

Najua unajua ni kitu gani kinaongoza kwa kupendwa kwenye mapenzi ni sex tu, siku ya kwanza unajibu ombi langu sikuwa na wazo jingine zaidi ya kutamani kiss toka kwako,

Uliposogea karibu na kunikisss nikatamani japo unikumbatie na kunipa penzi lako hakika u're so hot and Romantic,


I love u today ,tomorrow and day after day,

Unajua nini baby a'm in love with u pliz don't leave me Alone.

Unaweza ukanihaidi hapa kwamba utakuwa nami mpaka kifo.

Waiting for u're promise baby yna2


yna2
yna2

Cc Chombo ya fundi



Cc Zero IQ.
Zero IQ pambana mkuu utatoboa tu,juhudi hizi zitazaa matunda tu
 
Chipsi anapelekewa na mimi nakula Pussy baada ya hapo mkuu hivyo umegonga mwamba
comment zako nimejaribu kuzisoma kwa sauti ya brother K... sauti ya kiha ili nipate kuelewa zaidi... na kukuvisha uhusika wa brother K na mashati oversize... mzee hatari... mtoto ameelewa kazi yako...
 
Back
Top Bottom