mheshimiwa Mizizi,unanikosea heshima,naomba unitake radhi.jamaa anaitaji wahusika wanao dili na bidhaa husika kama alivyo eleza hapo juu.nashangaa unatoka na unapotokea kuniita dalali.tatizo liko wap kumuonganisha mtu au!enewe potelea mbali madamu siibi cha mtu