Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,565 Reaction score 14,325 Nov 23, 2017 Thread starter #21 Mangi flani hivi said: Anza na Mimi..... Nitafutie kitabu cha "asili na habari za wachaga" Click to expand... Sorry mkuu hivyo vitabu vya kiswahili asilimia kubwa havipatikani.
Mangi flani hivi said: Anza na Mimi..... Nitafutie kitabu cha "asili na habari za wachaga" Click to expand... Sorry mkuu hivyo vitabu vya kiswahili asilimia kubwa havipatikani.
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,113 Nov 23, 2017 #22 mvuv said: Sorry mkuu hivyo vitabu vya kiswahili asilimia kubwa havipatikani. Click to expand... Hiki ameandika mjerumani na anaitwa ccf dondo.... Ukicheki mtandaoni kipo ila kiutaalamu nimeshindwa kukipakua.... Na hapo ndo buku mbili zangu zinapokuhusu.
mvuv said: Sorry mkuu hivyo vitabu vya kiswahili asilimia kubwa havipatikani. Click to expand... Hiki ameandika mjerumani na anaitwa ccf dondo.... Ukicheki mtandaoni kipo ila kiutaalamu nimeshindwa kukipakua.... Na hapo ndo buku mbili zangu zinapokuhusu.
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 11,899 Reaction score 22,114 Nov 23, 2017 #23 Job K said: Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana! Click to expand... Acha kurukwa na akili wewe Mkaa nyumbani kwa Dada yako
Job K said: Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana! Click to expand... Acha kurukwa na akili wewe Mkaa nyumbani kwa Dada yako
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,904 Reaction score 4,666 Nov 23, 2017 #24 Job K said: Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana! Click to expand... Akili za Kigwangala hizi! Hivi ukikuta tu sehemu kuna shamba unaanza kulima! Hata kama sio lako, hata kama huna jembe, mbegu wala mbolea, wala soko!
Job K said: Daaa,, hii nayo kazi ya kumtoa mtu kimaisha? Mkuu huko kwenu Muheza si kuna ardhi yenye rutuba na mvua za kutosha? Pole sana! Click to expand... Akili za Kigwangala hizi! Hivi ukikuta tu sehemu kuna shamba unaanza kulima! Hata kama sio lako, hata kama huna jembe, mbegu wala mbolea, wala soko!
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,565 Reaction score 14,325 Nov 23, 2017 Thread starter #25 Onyix said: Naomba unitafutie kitabu cha "ART OF WAR" kimeandikwa na Kiongozi mmoja wa China kama sikosei anaitwa "MAO" Click to expand... Nimekuchek PM mkuu ili unipatie namba nikutumie kitabu husika.
Onyix said: Naomba unitafutie kitabu cha "ART OF WAR" kimeandikwa na Kiongozi mmoja wa China kama sikosei anaitwa "MAO" Click to expand... Nimekuchek PM mkuu ili unipatie namba nikutumie kitabu husika.