Yeye RC, mimi Luthelan

Kama unaona ishu ya udini ni ngumu na bado mnapendana kweli...basi nafikiri mfunge hata ndoa ya kiserikali tu kisha jumapili kila mtu anatawanyikia kwake. Simple.
 
Haloo jitahidi kuusoma uislamu ci kila unachouliza lazima ujibiwe, tafuta maana ya kafiri na mshirikina then utapata jibu la swali ulilouliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haloo jitahidi kuusoma uislamu ci kila unachouliza lazima ujibiwe, tafuta maana ya kafiri na mshirikina then utapata jibu la swali ulilouliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio unakana mwenyewe kauli yako?
Sasa huo uislamu nitausomaje kama wewe hautaki kunifundisha?

Maendeleo hayana chama
 
Miaka hii ya sasa ya sayansi na teknolojia, elimu iliyo sambaa kwa idadi kubwa ya watu, na HAKI SAWA KWA WOTE naona vinadumaza sana maswala ya mapenzi na ndoa, ndio maana ndoa hazidumu sikuizi. Mungu awabariki sana wazazi wetu, wao hawakupata shida za dini wala madhehebu, waliangalia kesho ya watoto wao. Asante mama uliamua kufata dhehebu la ubavu wako (baba) leo watoto wote tunaimani moja tunanena pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wadogo kabla hawajawa na maamuzi yao wataenda upande gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmmh kama hakuna anayehama hapo ni mgogoro.kuna raha sana ikiwa familia wataamka asubuhi kwenda kanisa moja na kurudi pamoja.hivyo yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Lowassa ni Mlutheri na mama Regina ni RC. Mkifunga ndoa Lutheran Baba Paroko wa RC anakuwepo.

Ongeeni na viongozi wenu wa dini.

Raha ya ndoa ni kusali kanisa moja, kwa maoni yangu.
Jiwe ni RC mke ni mlokole
 
Asante, hapo ndipo ninapowaza, familia moja afu imani mbili? Afu watoto tutawatengenezea mazingira gani?, Watakuwa na nini cha kujifunza kwetu endapo wakikuta kila mmoja na imani yake? Naona huo ndo mwanzo wa kugawana watoto. Afu roman na Lutheran tumepishana sana ktk mambo mengi
QUOTE="jaija a khun, post: 30511359, member: 284279"]Miaka hii ya sasa ya sayansi na teknolojia, elimu iliyo sambaa kwa idadi kubwa ya watu, na HAKI SAWA KWA WOTE naona vinadumaza sana maswala ya mapenzi na ndoa, ndio maana ndoa hazidumu sikuizi. Mungu awabariki sana wazazi wetu, wao hawakupata shida za dini wala madhehebu, waliangalia kesho ya watoto wao. Asante mama uliamua kufata dhehebu la ubavu wako (baba) leo watoto wote tunaimani moja tunanena pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Mbona kawaida sana kwa sis wakristo.
Dhehebu sio ishu kubwa sana. Labda ingekuwa dini
Anasema hayupo tayari kuhamia Lutheran.
Anadai abaki kwenye dhehebu lake na mimi nibaki kwenye dhehebu langu hata tutakapoingia kwenye ndoa.
Wakuu hali kama hii si kukaribisha migogoro ya hapo baadae?
Ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona shegga?
Fungieni ndoa kwenye gharama nafuu. Nenda RC, ukachukue profoma invoice ya gharama za kufungisha ndoa. Nenda KKKT (ambayo wewe unaiita 'Luthelan') ukachukue profoma invoice ya gharama za kufungiasha ndoa. Kule kwenye gharama nafuu, ndio ukafungie huko huko. From there kila mtu aendelee kuabudu kule anapopenda kuabudu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…