Yeye Kajitoa?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Mmoja hayupo hapo kwenye picha ya kwanza
 

amekwenda wapi? hata picha ya pili haonekani
 
Jamaa wamenawiri sana, huyu wa gorofa atapandisha sky line
 
Joti amebadilika sana
 
Kundi la kipaji cha televisheni "Orijino Komedi" linaloongoza nchini kwa vipindi vyake kupitia television imeingia mkataba na Kampuni ya Nexus Consulting Agency kwa kushirikiana na Rockstar 4000. Mkataba huu unakuwa wa kwanza kwa wasanii wa luninga kupitia kampuni hii ya Nexus
 
Reactions: Paw
mlio karibu waambieni waende shule zaidi kuboresha mambo yao, walififia sana hapa kati
 
very true maana Mrema ni kama amejitoa kabisa hasa kisheria ingawa unahitaji approval ya expert 3

Wao walisema kuwa kundi lao linaundwa na wasanii saba. Hivyo hata wale ambao hawapo bado wanawakilishwa hapo. Siyo lazima wawepo wote!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…