Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
Atarudi jiandae kumpokea
nepi mchezo,tuzidi kumsubiri
Nimechoka na mengi ya Dunia hii Yesu Rudi unichukue!
sina imani mimiUkijibiwa km ulivyotoa kashfa wewe mtajazana hapa na wenzako muanze kudai mnatetea Imani yenu!
Tujifunze Kua wastaarabu ktk Kila Jambo hivi inaonyesha ndio jinsi ulivyo!
Na Kwa kukusaidia ni kwamba ata Quraan inatambua Kua Yesu atarudi na ndio itakua kiama! Sasa mleta hoja amekosea nini kusema Yesu Rudi Basi?
ukiwa unaipenda pepo huwezi kuogopa kifo wala siku ya mwisho.
Mi nimechoka na vipigo kila siku timu ninayoishangilia inakula vichapo jana na madrid nae holla
Hayo ya nepi umeyajuaje?
Kuna watu humu ukikomaa nao ni kama unampigia mbuzi gitaa, achana nae kama anajielewa atatambua upuuzi wake ulipo. Kubishana nae wengine ndio kusudi lao kutwa nzima kukosoa vitabu vya wenzao wakati vyao vipo.
Pole Mkuu!
Tulio wengi bado hatujajiandaa kumpokea,
nawakuta kila siku kwenye mihadhara na vijiweni wanalumbana na ndivyo wanavyojibizanaHayo ya nepi umeyajuaje?
like japo sina kitabu ni mfuasi wa mizimu mimi sasa sijui ni kitabu sijui ni miziziKuna watu humu ukikomaa nao ni kama unampigia mbuzi gitaa, achana nae kama anajielewa atatambua upuuzi wake ulipo. Kubishana nae wengine ndio kusudi lao kutwa nzima kukosoa vitabu vya wenzao wakati vyao vipo.