Ni kweli ndugu, tupo nyakati mbaya sana. Vipi unaizungumziaje kuhusu unyakuo, dhiki kuu, utawala wa miaka 1000 ya Bwana Yesu na hukumu kwa watu wote baada ya utawala wa miaka 1000 ya Bwana Yesu hapa duniani?Amina mpendwa kwa hakika Yesu yu karibu kuliko tulivyoanza kuamini.
Great!Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na vyote vikaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie haki kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Basi mpendwa wangu wokovu kuupata si kazi ngumu kama unavyodhani kazi yako ni moja tu,kumkiri Yesu kwa kinywa chako sawasawa na maelekezo yaliyopo kwenye neno la Mungu hili;
8 Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
Warumi 10:8
9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10:9
Ikiwa unataka kuokoka omba sara hii kwa imani;
Ee Bwana Yesu!naomba unisamehe dhambi zangu,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu,andika jina langu kwenye kitabu cha uzima wa milele,nakupokea ndani ya moyo wangu uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen!
Ikiwa umeomba sara hii nakuhakikishia umekuwa mwana wa Mungu kwa kuzaliwa kwa mara ya pili kwa njia ya Yesu Kristo.Kuanzia sasa umeokoka,Yesu anasema usitende dhambi tena,nenda kwenye kanisa lolote linaloamini wokovu waambie niliokoka JamiiForum watakusaidia kuukulia wokovu na hakika utamwona Mungu duniani na Mbinguni,Ubarikiwe nimekuandikia haya yote kwa pendo la Mungu.
Hakuna ajuaye siku wala saa ndiyo maana tangu hujazaliwa watu wanatangaza anarudi anarudi wanakufa wanasahaulika wanakuja wengine anarudi anarudi....Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na vyote vikaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie haki kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Basi mpendwa wangu wokovu kuupata si kazi ngumu kama unavyodhani kazi yako ni moja tu,kumkiri Yesu kwa kinywa chako sawasawa na maelekezo yaliyopo kwenye neno la Mungu hili;
8 Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
Warumi 10:8
9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10:9
Ikiwa unataka kuokoka omba sara hii kwa imani;
Ee Bwana Yesu!naomba unisamehe dhambi zangu,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu,andika jina langu kwenye kitabu cha uzima wa milele,nakupokea ndani ya moyo wangu uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen!
Ikiwa umeomba sara hii nakuhakikishia umekuwa mwana wa Mungu kwa kuzaliwa kwa mara ya pili kwa njia ya Yesu Kristo.Kuanzia sasa umeokoka,Yesu anasema usitende dhambi tena,nenda kwenye kanisa lolote linaloamini wokovu waambie niliokoka JamiiForum watakusaidia kuukulia wokovu na hakika utamwona Mungu duniani na Mbinguni,Ubarikiwe nimekuandikia haya yote kwa pendo la Mungu.
Mi naomba siku atakayokuja niwe nimekunywa Konyagi ili nimtwange maswali mujarab!!Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na vyote vikaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie haki kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Basi mpendwa wangu wokovu kuupata si kazi ngumu kama unavyodhani kazi yako ni moja tu,kumkiri Yesu kwa kinywa chako sawasawa na maelekezo yaliyopo kwenye neno la Mungu hili;
8 Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
Warumi 10:8
9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10:9
Ikiwa unataka kuokoka omba sara hii kwa imani;
Ee Bwana Yesu!naomba unisamehe dhambi zangu,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu,andika jina langu kwenye kitabu cha uzima wa milele,nakupokea ndani ya moyo wangu uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen!
Ikiwa umeomba sara hii nakuhakikishia umekuwa mwana wa Mungu kwa kuzaliwa kwa mara ya pili kwa njia ya Yesu Kristo.Kuanzia sasa umeokoka,Yesu anasema usitende dhambi tena,nenda kwenye kanisa lolote linaloamini wokovu waambie niliokoka JamiiForum watakusaidia kuukulia wokovu na hakika utamwona Mungu duniani na Mbinguni,Ubarikiwe nimekuandikia haya yote kwa pendo la Mungu.
Lini?Ndugu tujiandae kwa ujio wa Yesu mara ya pili, mara hii ya pili harudi kama hapo kwanza. Safari hii akirudi anarudi na utukufu mkuu kulinyakua kanisa, ndugu usiwe mbishi hata kipindi cha Nuhu,alijenga safina miaka mingi na watu walimdhihaki mpaka siku ambayo Mungu alileta mvua kubwa watu na vyote vikaangamia.
Hata sasa tunamhubiri Kristo lakini mnadhihaki na kusema siku ya mwisho haipo, siku ya mwisho ni pale unapokufa ndugu usijidanganye mwisho upo fanya maamuzi leo uokoke na Mungu akupe amani duniani na mbinguni.
Mpendwa usijihesabie haki kwa kusema matendo yangu mema pekee yatanipeleka mbinguni, usiseme mimi msabato, mimi ni romani, mTAG, muislamu hivyo nitakwenda tu mbinguni, hapana lazima uokoke kwa kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi yaani kuokoka.
Muhimu: Hakuna shortcut ya kwenda mbinguni ni lazima upitie kwa Yesu Kristo bila Yesu ni jehanamu ya moto ushahidi huu hapa;
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
Basi mpendwa wangu wokovu kuupata si kazi ngumu kama unavyodhani kazi yako ni moja tu,kumkiri Yesu kwa kinywa chako sawasawa na maelekezo yaliyopo kwenye neno la Mungu hili;
8 Lakini yanenaje? Lile neno li karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani, ni lile neno la imani tulihubirilo.
Warumi 10:8
9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Warumi 10:9
Ikiwa unataka kuokoka omba sara hii kwa imani;
Ee Bwana Yesu!naomba unisamehe dhambi zangu,futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu,andika jina langu kwenye kitabu cha uzima wa milele,nakupokea ndani ya moyo wangu uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu,amen!
Ikiwa umeomba sara hii nakuhakikishia umekuwa mwana wa Mungu kwa kuzaliwa kwa mara ya pili kwa njia ya Yesu Kristo.Kuanzia sasa umeokoka,Yesu anasema usitende dhambi tena,nenda kwenye kanisa lolote linaloamini wokovu waambie niliokoka JamiiForum watakusaidia kuukulia wokovu na hakika utamwona Mungu duniani na Mbinguni,Ubarikiwe nimekuandikia haya yote kwa pendo la Mungu.
AminaMteule wa Mungu, ni kweli Yesu Kristo ANARUDI. Zamani tulisema siku hizi ni za mwisho lakini sasa tukio linalokuja kutokea duniani ni kurudi kwa Yesu. Maana saa ya wokovu wetu imekaribia kuliko tulivyoanza kuamini(Warumi 13:11).
Tazama yuaja na mawingu na kila jicho litamwona( Ufunuo wa Yohana 1:7)
Mimi binafsi kwa neema ya Mungu nimepata maono na njozi nyingi juu ya kurudi kwa Bwana Yesu, uhalisia wa upendo wa Mungu kwetu, jehanamu, anguko la Shetani, unyakuo wa watakatifu(rapture of the saints) na mengineyo. Kama nikipata muda nitajitahidi kushare hapa ili mwenye masikio ya kusikia na asikie.
Jambo la muhimu kwa sasa ni inatupasa kutubu na kuishi maisha matakatifu maana Yesu anarudi kuchukua wateule wake wasio na mawaa yeyote wasio na dhambi yeyote, watu waliyoyafua mavazi yao na kuyafanya meupe katika damu ya Mwana-Kondoo wa Mungu. Na Roho Mtakatifu ndiye sumaku ya kutufanya tuweze kunyakuliwa ile siku kuu ya kuja kwa Yesu. Pia tuzidi kuwaambia wengine juu ya pendo la Mungu kwa wanadamu.
Mungu awabariki. Maranatha.Amen