Yesu ashawai kuishi Afrika

Yesu ashawai kuishi Afrika

Goku 255

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
440
Reaction score
849
Bibilia na historia inatueleza, kuwa wakati Yesu alizaliwa mfalme Herode alikuwa na hofu na aligiza watoto wote wadogo wa kiume wa umri wake kuuawa. Na malaika alimwagiza Yusufu na Maria kwenda Misri, baada ya mfalme kufa ndio walirejea
 
Bibilia na historia inatueleza, kuwa wakati yesu alizaliwa mfalme herode alikuwa na hofu Naaligiza watoto wote wadogo wa kiume wa umri wake kuuwawa.Na malaika alimwagiza yusufu na maria kwenda misri,baada ya mfalme kufa ndio walijerejea
Tena aliishi njombe
 
Back
Top Bottom