Nionavyo mimi ameidhinisha lakini kwa kuwa siku zote hataki kuchafuka mikono yake na kuonekana ni mbaya mbele ya watanzania anakanusha kwamba hajaidhinisha. Lakini kituko kikubwa kwangu (bahati mbaya kwake kikwete si kituko) ni kwamba anasema hajaidhinisha lakini anajua kuwa wameshalipana tayari, what is he doing about it? As usual auto pilot itafanya kazi yake.
Kama ulimsikiliza mama jana, yeye kinachomsikitisha ni kuwa Watanzania wanadanganywa na waandishi wa habari, kuwa wabunge wetu wanachukua posho siku 365 za mwaka, ndicho kinacho muuma, anasema '' Jamani hizi posho ni za siku tano tu kwa wiki na kipindi ambacho tuko hapa Dodoma kwenye maisha magumu''