Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Yani dada bado nna beef na wewe. Umefanya nikute vibuti na misuto PM kwangu [emoji58][emoji52]Nadhani hata yeye kakomenti kwa utani hawezi kuwa na akili ndogo namna hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu gani unaongelea hapa babe?Usiwe mgumu mgumu sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Simba mwenda pole ndiye mla nyama mkuuAisee kumbe kuna member wanamiliki mpaka mademu wa4 kwa wakati mmoja na wote wanajuana...mm nikiwafuata PM wanaishia kupokea salamu tu baada ya hapo umuoni tena..
Kweli uchawi upo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh hebu wataje kwanza nikuchagulieNataka kumpora mmoja..embu nichagulie kwenye hyo 4 nitoke na namba ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we niachie tu joanah sitaki wengiUtapata tu mkuu. Hebu niambie umempenda mrembo gani nikupe chap kwa haraka maana wote nawamiliki mimi.
Ndio ukome sitaki tabia za kibazazi mimiYani dada bado nna beef na wewe. Umefanya nikute vibuti na misuto PM kwangu [emoji58][emoji52]Ugumu gani unaongelea hapa babe?
Mkuu unamzungumzia simba yupi..maana ata yule Wa porini kuna wakati hulazimika kwenda mbioSimba mwenda pole ndiye mla nyama mkuu
[emoji35][emoji35] huyo usimguse kabisa nitakupa ban ya maisha hapa JF. Usichague kwenye list yangu hao wanne waache kabisa usiguse hata mmoja.
Ukiamua kwenda mbio uwe na technicMkuu unamzungumzia simba yupi..maana ata yule Wa porini kuna wakati hulazimika kwenda mbio
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemtaja mmoja kidogo ning'olewe meno..
[emoji144]
Ameshaelewa ugumu ganYani dada bado nna beef na wewe. Umefanya nikute vibuti na misuto PM kwangu [emoji58][emoji52]Ugumu gani unaongelea hapa babe?
[emoji33]Aisee kumbe kumpata mrembo humu inatakiwa ujipange kama unaenda somalia kulinda amani..[emoji35][emoji35] huyo usimguse kabisa nitakupa ban ya maisha hapa JF. Usichague kwenye list yangu hao wanne waache kabisa usiguse hata mmoja.
Why not
Hahahaha kumbe hata ww single halafu unawashangaa wadada, vile ambavyo huna ndivyo ambavyo na wenzako hawana sabab sijui
Sasa kwa nn mm na wewe tusiachane na huu usingle?Hahahaha kumbe hata ww single halafu unawashangaa wadada, vile ambavyo huna ndivyo ambavyo na wenzako hawana sabab sijui
Hapa nikumfuata mshana Jr tu,hapa bila ndumba nitatoka bila kitu..Mie hata sijielewi sijui niko single, ngoja kwanza aje toxic9 athibitishe hapa mwenyewe kama keshaniacha
Mshana leo yuko busy na familia kuwa mpole tuHapa nikumfuata mshana Jr tu,hapa bila ndumba nitatoka bila kitu..
Sent using Jamii Forums mobile app
We kama unataka niwe mpole nikubalie niwe valentine wako...mshana nimepishana nae sasa iv anaelekea kilingeni..[emoji41]Mshana leo yuko busy na familia kuwa mpole tu