Pole mdogo wangu huyu Chalii si mtu mzuriDada nimeshachezewa na huyu.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali wifi mdogo wangu ujana unamsumbua mvumilie tu kidogo ataachaWifi nimechokaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]huu mdo ule uvumilivu ulikuwa unaniambia umenishinda[emoji852][emoji852]tupo wengi, wengine hawajulikani bado.
Huyu hana foleni kweli dada?Mdogo wangu hata usihangaike mwaya, huyu ledada tumeshapeleka kishika uchumba, unaonaje nikuachie huyu Da'Vinci
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana wote nawapenda sitaki kupoteza hata mmojaChalii anguu nigawie mmoja basi...
[emoji16] [emoji16]
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Toka zako wengine hao wake za watu. Unamjua Saint Ivuga?Dada mimi nawapenda wote nitaufanyia moyo wangu partition kila mtu apate sehemu yake [emoji58]
Dada siamini kama wewe leo unanisaliti hapa. Yani unataka kumuuza babe wangu kwa bazazi Da'Vinci ? [emoji25][emoji25]Mdogo wangu hata usihangaike mwaya, huyu ledada tumeshapeleka kishika uchumba, unaonaje nikuachie huyu Da'Vinci
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa najiandaa na maua hapa kumbe mwenzangu unajitangaza upo singo [emoji47][emoji47]Eti nini??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Daaah... mjali chalii ako ujue!! You own a single crumper.Hapana wote nawapenda sitaki kupoteza hata mmoja
Siamini kama unanisnitch kabisa dada. Kweli adui yako ndugu yako, bora hata mtoka mbali [emoji23][emoji23]
Mmmhh makubwaNilikuwa najiandaa na maua hapa kumbe mwenzangu unajitangaza upo singo [emoji47][emoji47]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inauma eeh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Dada siamini kama wewe leo unanisaliti hapa. Yani unataka kumuuza babe wangu kwa bazazi Da'Vinci ? [emoji25][emoji25]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenye familia yetu hatuna maplayer we sijui umetoka wapi inabidi utafute ukoo wakoSiamini kama unanisnitch kabisa dada. Kweli adui yako ndugu yako, bora hata mtoka mbali [emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Nilikuwa najiandaa na maua hapa kumbe mwenzangu unajitangaza upo singo [emoji47][emoji47]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hapo ndio kabazazi unayechipukia nilianza kupata wasiwasi tangu ulipoanza kuambatana na huyu bazazi mzee AsprinDada siamini kama wewe leo unanisaliti hapa. Yani unataka kumuuza babe wangu kwa bazazi Da'Vinci ? [emoji25][emoji25]
Dada si ndiyo ametoka kukutenda huyo?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]anakuacha nyumbani unaandaa chai anapita akijitangaza yupo single?[emoji119][emoji119][emoji119]
Ndio shida ya kutoka na vijana akiona mabinti anakukata mchana kweupe[emoji85][emoji85]Mmmhh makubwa
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nani huyo ili nimwondoe haraka kwenye list wabaki watatu?