Umesoma lakini komenti yake? Anamaanisha amechukulia siriazi jinsi wabebez walivyopangwa na chaliifrancisco?Kwa hiyo kama ikitokea nakuwa anatania, una maanisha nini?
Umesoma lakini komenti yake? Anamaanisha amechukulia siriazi jinsi wabebez walivyopangwa na chaliifrancisco?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi katika hali ya kawaida inawezekana?Nimesoma, ndo nauliza what if he meant it?
Ahaa sasa ndio nimekuelewa kwa hiyo hata wa hivyo ye hana anatamani angewapata hata wa hivyo kwa kuanziaNi ngumu, lakini kuna tone fulani ukisoma alichoandika inaonesha chembe za uhalisia.
Anaweza akawa amewaza katika muktadha wa kwamba angetamani apate shangwe la vile ili atumie kama nafasi kutokea hapo.
Ahaa sasa ndio nimekuelewa kwa hiyo hata wa hivyo ye hana anatamani angewapata hata wa hivyo kwa kuanzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Schunwi kindezi ndeziNdo mana nmekukacha kwa ubahili wako
Nmepata bwana matata humu ndani nanepa tu sahv
NimekanwaaaaaaaaaWale ambao hatuna hao kina Valentine sijui kina nani tuna comment wapi??Comment ziwe fupi fupi jamani
Iv Valentine ni tar ngapi vile..Haaa,wacha wee ebu nitumie kwanza ya valentine tuanze basi
😀😀Iv Valentine ni tar ngapi vile..
Weka namba fasta kuna dili nimepiga mahali tugawane pasu
Sent using Jamii Forums mobile app