Mimi acha nijilengeshe kwa Nyani Ngabu, ila ntakoma kwa Miss Natafuta, maana mambo yao ya chumbani ghafla bin vuuu yakaibukia JamiiForums
Miss Natafuta upo?Mimi acha nijilengeshe kwa Nyani Ngabu, ila ntakoma kwa Miss Natafuta, maana mambo yao ya chumbani ghafla bin vuuu yakaibukia JamiiForums
Will you marry me, again and again and forever?
Ngoja nimcheki Mbezi Beach, nikimkosa namfuata Kariakoo
Hahahahaha we jamaa umenichekesha sana hakyamamaDunia haina usawa ila tujitahidi mpaka ilete usawa
Ulikosea pale uliponikataa. Sky akaokota almasi kwenye machimbo ya dhahabu.


Wivu sina ila roho inauma!Jaribu kunikonvisi nibadili dini. Afu uongee na Sky akubali kukukubali.Wivu sina ila roho inauma!
Tatizo sina 'konvising pawa'Jaribu kunikonvisi nibadili dini. Afu uongee na Sky akubali kukukubali.

Mi najua tatizo ni "hutaki" kuwa na konvinsing pawaTatizo sina 'konvising pawa'![]()
Nilikuambia hukutaka kunisikia...
Nini mkuuHahahahaha we jamaa umenichekesha sana hakyamama
😭😭Nilikuambia hukutaka kunisikia...
Hamia kwa mdogo wake. Anaitwa chaliifrancisco . Kijana mtulivu hana mawaa. Kizuri anakula na mimi babu yake
Kauli yako imenikoshaNini mkuu