Huyu aliyeandika hapa ni either kandarasi wa kikenya aliyekuwa anatudhihaki, au ni mbongo mvuta bange. kama kandarasi anaweza kuandika hivi, hicho atakachojenga hapo kitafaa kweli? achukuliwe hatua kabisa.Habari zenu waku ,,, natumaini jumapili ya leo ipo salama kabisa huko mlipo ,,,
Nikiwa miongoni mwa watz , wengi ambao tukiamka tu jambo la kwanza tunashika simu zetu na kuangalia kama kuna jumbe au missed call yoyote ile katika simu zetu ,, sasa baada ya kupekua huku na kule
nikasema ngoja niingie kwenye page moja hivi inaitwa Africa cities and skyscrapers ,,, ghafla nikakuta na kitu ambacho kimeniumiza sana ,, huko nimekutana na bango fulani ambalo limeonekana limetumwa huko na ndugu zetu ,, jirani zetu wakenya . Likifichua au kuanika udhaifu wetu wa kiingereza ,,,
katika page hii,, ndugu zetu hawa wamekuwa wakitumia sentensi hizi
1) victims of English language
2) everything is okay until you ask a Tanzanian to speak English
3) When it is time to speak English Tanzanians people go in flight mode
hizo juu ni sentendi baadhi tu ,, binafsi sikuwa zichukulia serious sana ,, maana nilikua ni utani tu wa jirani ,,, sasa kuna hili bango nimeliatachi hapa chini ,, bango hili ni la mkandarasi fulani ambaye alikuwa anatengeneza barabara huko karangwe ,,, sehemu ya chini kabisa limeandikwa hivi
"H.I.V is killed "
sasa kikawaida wakandarasi ni watu waliosoma wanaoelewa kingereza vizuri ,, sasa ilikuwaje tena waandike hivi au walikuwa wanamaana ghani katika ujumbe huu walioiandikia jamii ?? Ukweli nimeamua sana bango ili limetuvua nguo zote tena sawa sawa na mtu akivue nguo stendi..View attachment 3041871
Mimi nimeumia sana wakandarasi wasomi kabisa inamaana walishindwa kungamua shida iliyokuwepo hapo kwenye bango ??huyu aliyeandika hapa ni either kandarasi wa kikenya aliyekuwa anatudhihaki, au ni mbongo mvuta bange. kama kandarasi anaweza kuandika hivi, hicho atakachojenga hapo kitafaa kweli? achukuliwe hatua kabisa.
Habari zenu waku, natumaini Jumapili ya leo ipo salama kabisa huko mlipo..
Nikiwa miongoni mwa watz, wengi ambao tukiamka tu jambo la kwanza tunashika simu zetu na kuangalia kama kuna jumbe au missed call yoyote ile katika simu zetu, sasa baada ya kupekua huku na kule nikasema ngoja niingie kwenye page moja hivi inaitwa Africa cities and skyscrapers, ghafla nikakuta na kitu ambacho kimeniumiza sana, huko nimekutana na bango fulani ambalo limeonekana limetumwa huko na ndugu zetu, jirani zetu wakenya. Likifichua au kuanika udhaifu wetu wa kiingereza,
Katika page hii, ndugu zetu hawa wamekuwa wakitumia sentensi hizi
1) victims of English language
2) Everything is okay until you ask a Tanzanian to speak English
3) When it is time to speak English Tanzanians people go in flight mode
Hizo juu ni sentendi baadhi tu, binafsi sikuwa zichukulia serious sana, maana nilikuwa ni utani tu wa jirani, sasa kuna hili bango nimeliatachi hapa chini, bango hili ni la mkandarasi fulani ambaye alikuwa anatengeneza barabara huko Karangwe, sehemu ya chini kabisa limeandikwa hivi
"H.I.V is killed "
Sasa kikawaida wakandarasi ni watu waliosoma wanaoelewa kingereza vizuri, sasa ilikuwaje tena waandike hivi au walikuwa wana maana ghani katika ujumbe huu walioiandikia jamii?? Ukweli nimeumia sana bango ili limetuvua nguo zote tena sawa sawa na mtu akuvue nguo stendi..
View attachment 3041871
Wenye lugha yao wamelalamika?Ujumbe gani kaka ???
H.I.V is killled ?
H.I.V is killing ?
H.I.V kills
🤣🤣🤣 H.I.V is killedKwani kakosea wapi hapo? HIV is killed..
HIV imeuawa au vipi
Kweli hakiwezi kufanya hayo ulioliza ..Mnahangaika sana
Hichi kiingereza kitaleta chakula mezani
Kitawajengea nyumba
Mbona hao wakenya wenyewe mnaosema wanajua kila siku ni njaa kwao kingewafanya wawe wa dunia ya kwanza. Lkn ndio wenyemaisha magumu wengi.
Huko marekani wanaoongea kiingereza bado kuna watu wanaishi kama wapo jehanamu.
HIV is killed. Sio kama awali ilivyokuwa tishio. Ila kuna mzaramo hapa anakwambia mwamba kakosea kwenye lile bango🤣🤣🤣🤣🤣 H.I.V is killed
It means ,, H. i. V , doesn't exist anymore ,, H.i.v is no longer a threat in this world we are living in ..
Ni kweli ,, H.I.V si tishio , kweli ugonjwa huu haupo ?? Maana huu ndiyo ujumbe uliopo hapo ??
kiingereza tunakielewa tofauti ..HIV is killed. Sio kama awali ilivyokuwa tishio. Ila kuna mzaramo hapa anakwambia mwamba kakosea kwenye lile bango🤣🤣
🤣🤣🤣 Upo sahihi ,, mimi kinachoniuma kuona wasomi kabisa watu wamekaa miaka zaidi ya 15 ,, wakisoma tena kwa hii lugha ,, wanaruhusu vitu kama hivi vitokeeNadhani Gen Z itatuokoa katika hili, wao angalau kizungu chao kina afadhalli tofauti na sisi tuliosoma miaka hiyo.
Kifupi tu wengi wa 35+ kizungu chetu lazima tutafsiri toka lugha za asili ndio tupate kuongea au kuandika.
Hata gen z hali ni mbaya mzee wangu.Nadhani Gen Z itatuokoa katika hili, wao angalau kizungu chao kina afadhalli tofauti na sisi tuliosoma miaka hiyo.
Kifupi tu wengi wa 35+ kizungu chetu lazima tutafsiri toka lugha za asili ndio tupate kuongea au kuandika.