Yeriko Nyerere unatia aibu kuhusu utetezi wako kwa Nabii Tito

Mimi ɓado sijaelewa!Kwani anatakiwa aanzishe kanisa alafu ndo aombe kiɓali au aombe kiɓali ndo aanzishe kanisa? Msaada kwa hilo
Yani hapo ni kama unauliza kua inawezekana kufanya mapenzi halafu ukimaliza ndio unavaa condom
 
Hatangazi tu mitaani ana waumini na anafanya ibada kwenye baa hivyo ana kanisa sababu kanisa ni kuwa na waumini na kuwa na sehemu ya kuabudia na kufanya ibada ikiwa chini ya kiongozi mwenye title ambaye ni yeye Nabii Tito.Hivyo ana Kisa NA kuanzisha kanisa bila kibali
Lile taarab lilipigiwa Bar gani? Maana naona Pako kama chumba kimoja Na sebule
 
Back
Top Bottom