Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
Magufuli ameharibu ustaarabu wa nchii hii anapaswa kujiuzulu mara moja.Ameamua kujikita kwenye kilimo cha bamia ameona chama kimepoteza dira na muelekeo!
Muulize yeye sababu zake za kutofanya hivyo!Mimi nilichohoji ni kwenye line ya mleta mada ambayo anadai huyu mtu alihatarisha maisha yake!Hivi kumbe kumsema JPM ni kuhatarisha maisha yako?Mnamjua muuaji ila huwa mnavunga tu!Vipi kueneza sera za chadema kwa wananchi nayo dhambi? Kakatazwa kufanya hili pia kuitangaza chadema kupitia mitandao?
Amekuambia au Lumumba buku 7
Haya tupo njiani tunakuja dodoma hizo posho ziwe tayari siyo baada ya mkutano tuanze kuzungushanaView attachment 1551816
Ndio nakumwagia hivyo...Povu
PhotoshopHaya tupo njiani tunakuja dodoma hizo posho ziwe tayari siyo baada ya mkutano tuanze kuzungushanaView attachment 1551816
Makada wa chama kile wana tatizo la kutoshirikisha ubongo na viungo vingine kabla hawajaropokwa!!!Muulize yeye sababu zake za kutofanya hivyo!Mimi nilichohoji ni kwenye line ya mleta mada ambayo anadai huyu mtu alihatarisha maisha yake!Hivi kumbe kumsema JPM ni kuhatarisha maisha yako?Mnamjua muuaji ila huwa mnavunga tu!
pia na wale waliopata kura moja tu kutoka Kamati za roho za wajumbe, nao wana visasi vyao, nje wanaendelea na mapambio lakini moyoni wapo na TAL!Kiukweli kasi ya JPM kuleta maendeleo ya kweli ya kuonekanika, inawafanya wakweli wote kumkubali, wengine kiwaziwazi hadi kujitoa Chadema na kuunga mkono juhudi kwa kujiunga CCM, wengine wenye aibu, wamemuunga mkono JPM kimoyomoyo, wanasubiria tuu ile tarehe 28 October, kwenda kufanya mambo!.
P
Katika comment zako naona wewe ni mfia dini, sasa kwanini msiende milimani mkakeshe mumuombee asiharibu nchi na miaka ndio hiyo inayoyoma na maisha ya watanzania bado yale yaleJiwe ameharibu ustaarabu wa nchii hii anapaswa kujiuzulu mara moja.
TKiukweli kasi ya JPM kuleta maendeleo ya kweli ya kuonekanika, inawafanya wakweli wote kumkubali, wengine kiwaziwazi hadi kujitoa Chadema na kuunga mkono juhudi kwa kujiunga CCM, wengine wenye aibu, wamemuunga mkono JPM kimoyomoyo, wanasubiria tuu ile tarehe 28 October, kwenda kufanya mambo!.
P