Yemenikuta Mwenzenu

duuuuh afadhali kakuachia roho yako maana vingine vyote utavipata tu duuuh papuchi aliicha kweli huyo maana inaonysha alikuwa na njaa na vyote pole sana mkuu
 
aisee pole sana...amaa kaanzakwagia mara businessmara prime minister office mh kazi sana....matapeli wanaonekana ga wa maana ....angekuwa mtu wa kawaida ana shida kweli ndio angeonekana tapeli....macho haya loo....tapeli huyo wa hali ya juu
 
"Pole mpendwa, but karibu tena town"
 
Pole sn now ndo michezo Yao ukiwaona wapo smart lakin Ni wez, tusipende kuongea Na watu ambao hatuwafahamu ukimpa dk 2 tu kumsikiliza kakumaliza anachukua attention yako Na utafanya kila anachotaka, wanatumia dawa
 
Pole sana ila usidhubutu kureport iyo kesi police ya tz kufa nalo moyoni, huyo ni mwizi hila hawezi kulingana na police wa tz, yaani ni zaid ya wezi
 
Pole sana mimeskitika kweli maana naimagine kama angekufanyia mambo mengi ya ajabu na mabaya???inabidi tuwe makini sana na binadamu wa siku izi maana wengi hawana wema!!!
Huwezi jua hawezi hadithia vyote!! Ila wadada why wanawafuataga nyie tu. Maana kila siku ni nyie tu. Mnaudhaifu gani kwenye hilo. Pili why mtu unatembea na ATM card bila hata ya matumizi. Ona sasa kagawa hadi pin number.
Mimi nabeba ATM card siku nahitaji hela tu sema nyie begi kuubwaaaa so wajaza vitu ambavyo hata huvitumii wakuta mtu Ana vitambulisho 9 vyote anazurura navyo akiibiwa begi anapoteza identity yake yote
 
Aisee nimesoma uzi wako nimetukana sana ila nashangaa mpaka uzi unaisha hata katusi kamoja ujamtia aisee Uzi kama huu mode hawezi kukupiga ban ukimtukana huyu kenge,jini mkata kamba mamaee
 
sweetdada yangu pole sana kwa mkasa huu, tushukuru Mungu hapa u mzima wa , maana sana hizi wengine wanaokotwa kwenye sandarusi coco beach huko, Uhai na uzima ndio muhimu, fedha kitu gani bwana!!! jamaa yangu mmoja karibuni tu hapa aliibiwa begi la mgongoni lililokuwa na mamilioni (30M) jamaa walimbadilishia lakni sasa ame cop vizuri tu. Pole sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…