Yemen wauana wao kwa wao!

Yemen wauana wao kwa wao!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,872
Reaction score
8,111
Vikosi vya Houthi vinavyoungwa mkono na Iran vimewaua makamanda kadhaa wakuu kutoka vikosi vya serikali ya Yemen vinavyoungwa mkono na Saudi Arabia wakati wa mapigano makali kote Marib, Lahj na Al-Jawf.

Miongoni mwa waliouawa ni Kanali Hamir Nasser Wardan, kamanda wa Kikosi cha 8, Brigedi ya 141, katika mstari wa mbele wa Raghwan, na Mustafa Hussein al-Awid al-Marmi, kamanda wa Kikosi cha 3, huko Lahj. Brigedia Jenerali Ali Nasser al-Awdhali, kamanda wa Kikosi cha 34 cha Watoto Wadogo, alikamatwa pamoja na wanajeshi kadhaa karibu na Al-Sharj baada ya kikosi chake kuzingirwa na kukosa risasi.

Vifo vingine ni pamoja na Kanali Mohammed Hatem, Brigedia Jenerali Hassan Ali Doker al-Haddad, mkuu wa operesheni wa Kikosi cha 219, na Ayed Abu Mazada, kamanda katika Kitengo cha 7 cha Dharura, wakati wa mapigano huko Al-Jawf. Mapigano zaidi ya Novemba 6 yaliwaua maafisa kadhaa huko Marib.

Majeruhi wa hivi karibuni wanafuatia shambulio la makombora ya kivita la Houthi kwenye kambi ya mafunzo ya kijeshi huko Shabwa mnamo Oktoba 19, ambalo liliwaua watu 73 na kuwajeruhi zaidi ya 200.

Mnamo Novemba 5, milipuko ya makombora na milipuko ya risasi ya Houthi pia ilimuua mwanamke mmoja na kuwajeruhi wengine 5 huko Taizz.
 
Mimi yahudi mweusi wa Nzega,naripoti kutoka huku Nzega vijijini.
 
Attachments

  • Echolima1.jpg
    Echolima1.jpg
    253.9 KB · Views: 4
Vikosi vya Houthi vinavyoungwa mkono na Iran vimewaua makamanda kadhaa wakuu kutoka vikosi vya serikali ya Yemen vinavyoungwa mkono na Saudi Arabia wakati wa mapigano makali kote Marib, Lahj na Al-Jawf.

Miongoni mwa waliouawa ni Kanali Hamir Nasser Wardan, kamanda wa Kikosi cha 8, Brigedi ya 141, katika mstari wa mbele wa Raghwan, na Mustafa Hussein al-Awid al-Marmi, kamanda wa Kikosi cha 3, huko Lahj. Brigedia Jenerali Ali Nasser al-Awdhali, kamanda wa Kikosi cha 34 cha Watoto Wadogo, alikamatwa pamoja na wanajeshi kadhaa karibu na Al-Sharj baada ya kikosi chake kuzingirwa na kukosa risasi.

Vifo vingine ni pamoja na Kanali Mohammed Hatem, Brigedia Jenerali Hassan Ali Doker al-Haddad, mkuu wa operesheni wa Kikosi cha 219, na Ayed Abu Mazada, kamanda katika Kitengo cha 7 cha Dharura, wakati wa mapigano huko Al-Jawf. Mapigano zaidi ya Novemba 6 yaliwaua maafisa kadhaa huko Marib.

Majeruhi wa hivi karibuni wanafuatia shambulio la makombora ya kivita la Houthi kwenye kambi ya mafunzo ya kijeshi huko Shabwa mnamo Oktoba 19, ambalo liliwaua watu 73 na kuwajeruhi zaidi ya 200.

Mnamo Novemba 5, milipuko ya makombora na milipuko ya risasi ya Houthi pia ilimuua mwanamke mmoja na kuwajeruhi wengine 5 huko Taizz.
kijana wangu,inaonekana hata hujui kuwa hapo mwanzo yemen zilikua nchi mbili,north yemen na south yemen..
kitu ingine hujui ni kuwa houthi ni muungano wa kikundi cha houthi na jeshi la iliyokua serikali ya muungano ya yemen ambayo ilikua inaongozwa na Rais Ali Abdallah salehe,,the strong man of yemen,
yemen baada ya kuungana miaka ya 90,ndiposa Ali abdallah salehe akawa Rais wake mpska alipokuja kupinduliwa na mivement ya arab spring,baada ya mapinduzi hayo vibaraka wa saudi arabia na US wakakamata nchi ya yemen,huku wahouth wakiwa sidelined,ndiposa wahouthi wakaanzisha vita,Ali salehe rais aliepunduliwa na mabeberu kupitia arab spring,akaungana na wahouthi,na hivyo jeshi lote la yemeni ambalo lilikua likimtii salehe likaungana na houthi,na hiyo ina explaine why houthi wana nguvu sana,sababu ni kiwa walirithi jeshi la yemen Republican,,
lakini baadae Ali salehe akarubiniwa tena na saudi arabia na mabeberu wakiahidi kumrudisha madarakani endapo atawasaliti wahouthi😀,kumbuka huyu Ali salehe mwenyewe pia alikua houthi,so Ali salehe akawageuka wahouthi bana,na akataka jeshi lake liwageuzia kibao wahouthi,mohamed al houthi akamuuliza,"bro are you sure unataka kutugeuka?".
Ali salehe kajazwa mapesa na wamarekani akajibu,"niko very sure bro"🙆🏽‍♂️😂.
wahouthi wakamramba chuma ya kichwa,,na huo ndo ukawa mwisho wa Ali salehe,
so houthi wakapiganisha vita na vibaraka wa wamarekani na kuwatoa mji mkuu sanaa,wale kamaa wakakimbilia mji wa Adeni,na huko ndo wakasimika himaya yao wakisaidiwa kwa silaha na fedha kutoka US,saudi arabia na israel,
so kiuhalisia houthi ndio waliridhi jeshi la united Republican of yemen
 
Kwahiyo mkuu wa mwanza houth ni jina la mtu?
 
Uharo mtupu!!! Kwa akili yako kisoda unafikiri waliouwawa ni Wayahudi? Acha ujinga soma vizuri kichwa cha habari acha kubwabwaja ovyo!!
 
Back
Top Bottom