Yemen wameishusha drone ya Marekani ya MQ -9 Reaper

Eti imetegeshwa vipi imetegeshwa wakati wameitungua 😄

Yani ukristo kila kitu America akipigwa sijui hio tack tick ndio mana sasa wenzenu wamegundua uwongo wa Western na America na Israel.

Hamasi na watu wa Gaza wamefanya watu wafahamu hakuna dini isipokuwa Uislam Europe, America. VIONGOZI wa nchi za Kiarabu wanamsaidia Israel na bado Hamasi wamemshindwa

View: https://youtu.be/XusmrbH9kbg?si=M0AiRH99lDmcwSFi

Kwahiyo drone ikitunguliwa hapo hapo camera na gps zinakufa 😄😄😄...ngoja waende nayo kwao huko kitakachotokea msianze kuimba "Allah anakibur"...😄😄😄
 
We unaonyesha kweli huifahamu technology vipi GPS na Camera ziwe function wakati System imebomolewa kwani GPS na Camera zinafanya kazi kama hakuna umeme unafika pale, yani engine iwe haifanyi kazi vipi GPS na Camera zifanye kazi?

Nini mana ya GPS nikuifatilie Obeject ikiwa ina move au imesimama kama system iko on, ikiwa off?

Camera same bila system kuwa on camera haifanyi lolote, sa ndege imetunguliwa afu unasema GPS na Camera zinafanya kazi? We wawapi we, hata mtoto mdogo wa vidudu anafahamu battery kama imekufa tochi au radio haiwezi fanya kazi 😄
 
Ansarallah (Houthis) released a video of them downing an American MQ-9 Reaper UCAV over Yemen

Unclear what type of SAM was used to down it, likely a Saqr-1/2 (358) loitering SAMs or R-73/27/77. Video recorded on one of the Houthis many Iranian/Chinese made ground based FLIRs

Potential surface-to-air missiles from Yemen's Ansarullah that could be used to shoot down the U.S. MQ9 Reaper UAV ($32 million)

The cheapest option would be the Iranian 358-SAM missile, with an estimated price tag of $50,000.

[emoji298]️Ansarullah Yemen:

“Our air defenses shot down an American MQ9 UAV while it was carrying out hostile, monitoring and spying activities in the airspace of Yemeni territorial waters and within the framework of American military support for the Israeli entity.”

View attachment 2808349View attachment 2808351
yaani tuwe wakweli, kwamba yemen inaweza kutunisha msuli kwa israel na marekani, hili nalo ni la kujadili kweli?
 
Yemeni unadhani JWTZ wewe, Israel na America wanawafahamu wayemen vizuri ndio sababu wanaogopa kumsogelea.

Mulize Muingereza na Mturkey na Msaudi Arabia watakupa habari zao
 
vita sio maneno wala ubishi, vita ni technolojia na silaha. israel na marekani kama hawana silaha watapigwa vibaya sana na waarabu kwasababu waarabu huwa wanapigana kwa moyo. ila kwasababu wana technolojia na vifaa vya kivita wana uwezo mkubwa sana. yemen silaha anategemea apewe na iran, tena sio yemen serikali, ni yemeni waasi wanaosaidiwa na iran, serikali ile ya zamani inasaidiwa na saudi arabia. hivyo wakati mwingine kwanza israel na marekani wanaweza hata wasiingie kwenye vita, wakafadhili tu upande wa pili wa waasi wa huth kwa kuwapa silaha na ujuzi, wakauana wao kwa wao hapo kwa miaka nenda rudi. hao wanaorusha ni waasi wa HUTH, sio yemen serikali, na ukisema kuwa serikali ilipinduliwa au nini baso hao waliopinduliwa ni opportunity kwa marekani kuwasaidia silaha ili wapigane na huth na wakamalizana wao kwa wao. ndio marekani anavyofanya.
 
hahaha kifaru cha mamillion kinapigwa na shells aibu gani hi, Iron dome inachezewa na Missiles za Hamasi ambazo ni cheaper kuliko hio Missile ya Iron dome mara 60,000
 
ndio mambo ya vita mura, hata russia amepoteza hivyo hivyo. hoja ni upande wa pili hata hicho kifaru hawana na hawatakuja kuwa nacho maisha yao yote kwasababu hawatakuja kuwa na nchi.
 
We unaonyesha kweli huifahamu technology vipi GPS na Camera ziwe function wakati System imebomolewa kwani GPS na Camera zinafanya kazi kama hakuna umeme unafika pale, yani engine iwe haifanyi kazi vipi GPS na Camera zifanye kazi?

Nini mana ya GPS nikuifatilie Obeject ikiwa ina move au imesimama kama system iko on, ikiwa off?

Camera same bila system kuwa on camera haifanyi lolote, sa ndege imetunguliwa afu unasema GPS na Camera zinafanya kazi? We wawapi we, hata mtoto mdogo wa vidudu anafahamu battery kama imekufa tochi au radio haiwezi fanya kazi 😄
Usiwe mbishi kwahiyo nani alikueleza gps na camera za drones lazima ziwe zinatumia mfumo mmoja wa umeme?

Siku hizi kamera zinawekwa hadi kwenye bulb za gesti na mahotel makubwa, gps zingine zinatumia betri ndogo kama za wireless microphone/Headsets yaani separately.
 
We wacha kula maboga na chai asubuhi drones zinakuwa equipped na GPS module iko kwenye drone kumbe hata battery ya touch in rusha drones au sio 😄
 
Maboga yanafaida sana mwilini na chai tena iwe ya soya siyo caffeine, 🤔🤔

Ok wewe endelea kukariri hivyo hivyo kwamba drone ni lazima iwe na mfumo mmoja wa umeme kwenye electric components zake zote.
 
Back
Top Bottom