Yemen’s president Saleh agrees to step down

Yemen’s president Saleh agrees to step down

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Opposition says Yemen’s president Saleh agrees to step down

Yemen’s embattled President Ali Abdullah Saleh agreed to sign a plan to transfer power to his deputy in return for immunity from prosecution, a senior opposition figure said on Monday.“The negotiations that have been under way for the past three days have led to an agreement by which the Gulf initiative and mechanisms for implementing it will be signed on Tuesday,” Mohammed Bassandawa, who heads the National Council of revolutionary forces, told AFP news agency.
The plan submitted by the Gulf Cooperation Council (GCC) calls on Saleh to hand power to his deputy, Abdrabuh Mansur Hadi, ending his 33-year rule.
Saleh has so far refused to sign the agreement, despite violence which has seen hundreds of people killed and thousands wounded since an uprising against his regime erupted in January.
There was no immediate confirmation from the Yemeni authorities. But several opposition sources insisted the plan would be signed on Tuesday in the capital Sanaa.
The GCC plan proposes the formation in Sanaa of a government of national unity, Saleh transferring power to Hadi and an end to the deadly protests. Saleh would submit his resignation to parliament within 30 days, to be followed two months later by a presidential election.
Saleh has has three times backed away from signing the accord.
The unrest has left Yemen, the poorest country in the Middle East, on the brink of collapse. The government’s crackdown left hundreds dead and thousands wounded since January.

 
Rais wa Yemen asaini kuachia
madaraka 23 Novemba 2011 18:28 Rais Ali Abdullah Saleh wa Yemen
ametia saini makubaliano ya kujiuzulu
kwake. Bw.Saleh alitia saini makubaliano hayo
yaliyopendekezwa na nchi jirani za
ghuba katika mji mkuu wa Saudi
Arabia , Riyadh. Chini ya makubaliano hayo
atamkabidhi madaraka naibu wake
kabla ya uchaguzi mkuu utakaotishwa
mapema na yeye mwenyewe atapata
msamaha wa kinga ya kufikishwa
mahakamani. Lakini baadhi ya waandamanaji nchini
Yemen wamesema watakataa
makubaliano yoyote ambayo yatampa
kinga rais na maafisa wake. Waandamanaji hao walisema mpango
huo wa nchi za Ghuba umepuuza
"damu ya mashahidi." Hatua ya serikali kupambana na
waandamanaji imesbabaisha vifo vya
mamia ya watu na maelfu kujeruhiwa
nchini Yemen. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka
69 aliyetawala tangu 1978
amekabiliwa na maandamano tangu
mwanzoni mwa mwaka huu. Mara kadhaa alionekana kuwa tayari
kutia saini makubaliano lakini alikuwa
akibadili nia yake dakika za mwisho. Wakati huo huo kumezuka
mapambano kati ya wanajeshi
wanaomuunga mkono Rais Saleh na
wapiganaji wa kiongozi muasi wa
kikabila Sheikh Sadiq al-Ahmar katika
wilaya ya al-Hasaba mjini Sanaa,ingawa taarifa za awali
hazikueleza kama kulikuwa na maafa
yoyote.
 
Rais Ali Abdullah Saleh wa Yemen
ametia saini makubaliano ya kujiuzulu
kwake. Bw.Saleh alitia saini makubaliano hayo
yaliyopendekezwa na nchi jirani za
ghuba katika mji mkuu wa Saudi
Arabia , Riyadh. Chini ya makubaliano hayo
atamkabidhi madaraka naibu wake
kabla ya uchaguzi mkuu utakaotishwa
mapema na yeye mwenyewe atapata
msamaha wa kinga ya kufikishwa
mahakamani. Lakini baadhi ya waandamanaji nchini
Yemen wamesema watakataa
makubaliano yoyote ambayo yatampa
kinga rais na maafisa wake. Waandamanaji hao walisema mpango
huo wa nchi za Ghuba umepuuza
"damu ya mashahidi." Hatua ya serikali kupambana na
waandamanaji imesbabaisha vifo vya
mamia ya watu na maelfu kujeruhiwa
nchini Yemen. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka
69 aliyetawala tangu 1978
amekabiliwa na maandamano tangu
mwanzoni mwa mwaka huu. Mara kadhaa alionekana kuwa tayari
kutia saini makubaliano lakini alikuwa
akibadili nia yake dakika za mwisho. Wakati huo huo kumezuka
mapambano kati ya wanajeshi
wanaomuunga mkono Rais Saleh na
wapiganaji wa kiongozi muasi wa
kikabila Sheikh Sadiq al-Ahmar katika
wilaya ya al-Hasaba mjini Sanaa,ingawa taarifa za awali
hazikueleza kama kulikuwa na maafa
yoyote.

Source:bbc
 
Hii habari ina siku nne mkuu wewe ndio umeipata leo?
 
Amefanya vizuri kuachia madaraka kama hakubalikitena tena, amefanya vibaya mno kusababisha vifo vya raia.
 
Malaika wa mabadiliko kwa kuzingatia matakwa ya PEOPLE'S POWER hadi leo hii haja pumzika tangu kule nchini Tunisia hadi Yemeni na mwishowe nchi Tanzania kabla ya kuelekea Zimbabwe.
 
Pole wewe na yeye...amedanganywa ili asaini kisha atakutana na mkono wa sheria...Huku hatuchezi na sheria kama huku home ththem wanafanya watakavyo,Ngoja tuje tulete uzoefu.
 
Safi sana Rais Ali Abdullah Saleh wa Yemen..

Tunataka na viongozi wengine wanaong'ang'ania madaraka nao wang'atuke...
 
Back
Top Bottom