Tunashauriwa kwamba, watu wanaosafiri kwa kutumia vyombo vya BAHARINI kuvaa viatu aina ya YEBO YEBO. Utafiti uliofanywa imeonekana kwamba aina hii ya viatu huwa hazizami baharini. Baadhi ya watu waliookolewa hivi karibuni katika ajali ya meli huko ZANZIBAR Kukutikana wakitembea juu ya maji wakiwa wamevaa YEBO YEBO.
kabisa aiseee, huu utani haujakaa sawa kabisa... Mpaka leo kny tv watu walikuwa bado wanachangia, tht means issue bado iko hot alafu we unakuja na utani kama huu kwel+!????????? C bora ungetumia mfano wa meli ya titanic