Yebo yebo

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,566
2,060
Tunashauriwa kwamba, watu wanaosafiri kwa kutumia vyombo vya BAHARINI kuvaa viatu aina ya YEBO YEBO. Utafiti uliofanywa imeonekana kwamba aina hii ya viatu huwa hazizami baharini. Baadhi ya watu waliookolewa hivi karibuni katika ajali ya meli huko ZANZIBAR Kukutikana wakitembea juu ya maji wakiwa wamevaa YEBO YEBO.
 
Hiyo pilikapilika ya kwenyemaji yebo itabaki mguuni kweli? Lbd watengeneze yebo la kuvaa kichwani km helment
 
Mkuu itoe kwenye jock ifanyie kazi iende kwenye market idea
 
mmmmmmm yebo ybo!!!!Naenda pale ubungo kuwaambia wale Wachina watengenze makoti ya material ya yeboyebo..tehteeeeh
 
kabisa aiseee, huu utani haujakaa sawa kabisa... Mpaka leo kny tv watu walikuwa bado wanachangia, tht means issue bado iko hot alafu we unakuja na utani kama huu kwel+!????????? C bora ungetumia mfano wa meli ya titanic
 
utani mwengine siyo mzuri, ukizingatia ni watu wengi wanaopita kwny hii jf wamepoteza ndugu zao, pia ss wengine tunasikitika tumepoteza watz wezetu.
 
utani mwengine siyo mzuri, ukizingatia ni watu wengi wanaopita kwny hii jf wamepoteza ndugu zao, pia ss wengine tunasikitika tumepoteza watz wezetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom