Yawezekana transfer kwa ngazi ya diploma?

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,143
5,610
Habari wana forums, ninamdogo wangu anasoma pale DSM institute of technology (DIT), anachukua civil engenering ngazi ya diploma , so anataka afanye transfer kwa madai yakuwa kozi ni ngumu sana , mm nishamwambia akomae nayo hakuna kitu kirahisi hapa duniani, ni wew mwenyewe tu jinsi utakavyojipanga na kukitilia mkazo kitu husika, lkn haeleweki , so yawezekana akafanya transfer kwa ngazi ya dploma ?, manake tunajua kwa ngaz ya degree it possible.
Karibuni kwa wenye ufahamu ,
Bila kuchafua hali ya hewa.
 
Back
Top Bottom