Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
wapeeeeeeeeee wapeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hadi kieleweke wee wamwagie sera wakirudi wakutane na lecture za mwl hadi mwaka uishe wamekoma ubish na kuamua kubadilika.
safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Rutashubanyuma
Rutashubanyuma kwa hilo bed mkipeana migongo ujue matatizo ni makubwa sana, bed zuri kama nnSawa Franky ngoja nijipange........................umekiona kitanda chako nilichokubandikia hapo kwenye mada? Kweli kinastahili kupeana migongo, kweli?
Rutashubanyuma kwa muda nilioishi duniani nimekuja kuconclude kwamba akili ya mtu husikiliza zaid ushahid wa kushndwa kuliko wa kushinda na ndio sabbabisho kubwa la haya yote.gfsonwin Hivi kitanda kilivyo na mvuto hivyo na mandhari safi ya nyumba yao lakini hawana amani hata chembe, kulikoni?
wapeeeeeeeeee wapeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hadi kieleweke wee wamwagie sera wakirudi wakutane na lecture za mwl hadi mwaka uishe wamekoma ubish na kuamua kubadilika.
safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Rutashubanyuma
Ruta bana!!
Rutashubanyuma kwa muda nilioishi duniani nimekuja kuconclude kwamba akili ya mtu husikiliza zaid ushahid wa kushndwa kuliko wa kushinda na ndio sabbabisho kubwa la haya yote.
tizama hata kama mke ni mbaya ama mume lkn mtu haangalii upande wa pili ambao ni mwema bado anaangalia upande mbaya na ndo panapomwambia haya mpe mgongo lol!