Yawahusu wanawake wa jf tu


haya bwana mie naona itabidi nianzishe counselling sessions kwa akina dada wa jf....nitawapeni njia za kujenga mshikamano . no malipo
 
Aisee anzisheni hilo jukwaa lenu haraka. Hata sisi wanaume tunataka kuanzisha la kwetu na tutazungumzia jinsi ya kuwagegeda kisawasawa hasa wale wanaojipitishapitisha, wanaovaa vimini, wasijiheshimu na wenye pepo wa ngono.

Msisahau kuelezena kuwa nyie wenyewe ndio mnao shusha heshima yenu wenyewe kwa kujiuza barabarani na kwenye mabaa.
 
asante kwa maoni yako sasa nimekuelewa nitaonana na mafounder waweze kutufanyia hichi kitu hapa halafu tutajua namna ya kufanya mbele kwa mbele nashukuru kwa kunishauri ndo mambo ninayotaka asante best
 
hujanielewa vyema acha nikupe somo hapo juu ndo utaelewa namaanisha nini hapa yalekea ulimi ulitelezak= kidogo best au mikono iiliingia kigugumizi cha kuandika upo hapo
Eti tutembeleane??

Kesho tukigombana nakuleta jf
 
Ni wazo zuri lady furahia.. But binafsi mimi sipendi si kwa Jf tu but hata kwa social network nyingine.

Sababu kubwa ni kuwa watu hawafahamiana kiuhalisia zaidi ya post za humu (au kama unamfahamu na nje ya hapa sio kivileee) , kila mtu anatabia zake kulingana na alivyolelewa na vitu vya namna hiyo, pia uwingi wa watu ni changamoto.

Mwisho wa siku muunganiko huishia katika majungu, migogoro, kuharibiana kazi, mahusiano n.k badala ya kufikia malengo ya kuanzishwa kwake.
(BTW WE WOMEN tunajijua wenyewe tulivyo na midomo lolz)

Ni ngumu sanaaaaa.. Ni bora kuanzisha kitu cha namna hii kwa baadhi ya watu unaowafahamu kwa karibu mfano class mates, workmates, majirani nyumbani, kanisan/msikitini n.k.

Kutokana na social network .. Hapana kwa kweli.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wazo ni zuri sana hata mimi nimeliafiki ila wanawake wengi hatupendani kabisa.
 
Ni wazo zuri ila wanawake wengi tukishakutana hatupikiki chungu kimoja
Halafu naogopaje watu wengi nisio wajua manake binadamu tumetofautiana,kila mtu na tabia zake.
Labda kwa wale wanaohitaji kuanzisha waungane,kama namna ya kuunda marafiki wapya
 
Tuzungumze ya wanawake yapi hayo?? Unyago?
Kama biashara wanamme wako far, ni bora kutojitenga nao

Yaani, tutaona senema wakigombana

wanawake tutabakia kuwa na tabia za kike tu, wataanza vizuri litazuka jambo tu,hatuishi maneno/majungu/wivu/kusemana, lakini niwatakie kila lililo na kheri, wa solo waendelee solo, guitar waendelee na sindimba pamoja.
 
Eti tutembeleane??

Kesho tukigombana nakuleta jf

Kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiii...

Kesho nikukuta unamsarandia myswitie wangu napeleka shitaka kwa mention Invisible.. Mbona itakuwa balaaaaa.

Unaweza letewa ngoma na tarumbeta za kusutwa ofisini ati ..kisa kundi la wanawake wa JF.. Chezeya wanawake wewe. I SALUTE!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa maoni yako ila sijapenda maneno yako ya kejeli na ufedhuli haapa, na sijafurahishwa ana maneno ya kutukandamiza sie wanawake ila asante kwa hoja yako tutaanzisha hivi karibuni na mtaliona tu usikonde
 
Wazo zuri ila in long hilo jukwaa linaweza kuwa sehemu ya kuchunguzana maisha na kusemana/kusengenyana maana kinachowaunganisha hapa JF ni kutofahamiana kwenu(FAKE JF ID's) ila siku mkikutana mkajuana mpaka maisha ya ndani timbwili huwa linaanzia hapo...

Mambo kama vichuki vya chini chini , kusengenyana, kebehi, kufunikana maisha, kujitenga tenga, masengenyo ya chini chini ni common sana kwenye umoja wowote wa wanawake..sijui mtajipanga vipi kukabiliana na hii..Badala ya kuungana mtatengena mno....

Anyway ni wazo jema jaribuni tuone.....
 
Na ya nyumbani kwako kuwa umepanga chumba kimoja Tandale kwa mfuga mbwa yanasambazwa PM
Inahu??
 
wanawake na maendeleo tusonge mbele iyere iyereeeereee wanawake ni JESHI KUBWA NALENYE NGUVU HALINA MPINZANI UPO HAPO
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri ila itabidi kiwanza tuwe na jukwaa hapa hapa kisha mambo mengine tutayafanya pindi tutakapochagua viongozi wa kundi letu hilo hayo usemayo kweli yapo ila hatutayapa kipaumbele na tukiona kuna mwenzetu anapotoka tutarekebishana sisi wenyewe, na lingine sio kwamba nilisema tunatembeleana majumbani kwetu la hasha! hujanielewa hapo ni kwamba tutakuwa tunatafuta mahali mfano kwenye sehemu za wazi wanazokutana watu hasa wale wenye kamati za harusi huwa wanafanyaga hivyo hizo sehemu tutakuwa tukijali mambo yetu au kama kuna mmoja wetu ana nafasi kwake tutakwenda pale na ndipo patakuwa mahali pa kukutania si vinginevyo mpendwa naomba unielewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…