mis lemich
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 207
- 176
Vipi mkuutenaaa!!!we Lemich wewe
Mis lemich nilikwambia nifanye super sub sijui ukakimbilia wapi...Vipi mkuu
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asanteh kwa ushaurisasa kama umepona maumivu.. mfate mwambie umeshindwa mbinu zako za kutaka nijinyonge!!!!!
Nipo hapaMis lemich nilikwambia nifanye super sub sijui ukakimbilia wapi...
Hakuna kujinyonga hapa ni kuimba mashairi.... Kuburudisha umati na kuliwaza nyoyo z wengi[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asanteh kwa ushauri
mbona nikawa sikuoni? Yaan nimekutafuta mpaka nikahisi unashinda jukwaa la wakubwaNipo hapa
Umenipata sasambona nikawa sikuoni? Yaan nimekutafuta mpaka nikahisi unashinda jukwaa la wakubwa