Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Ng'ombe wanakufa ktk vituo vya polisi (kasulu na kigoma mjini)! Ndo nafasi ya wezi kuiba kwa kutumia magari kwa sababu ngo'mbe hakuna anayewajari wakiwa mikononi mwa polisi ktk vituo hivyo.
Tnz tulisha-sign mikataba ya haki za wanyama? Kuna chama au wanaharakati wa haki za wanyama? pls ingilieni kati hali hii haivumiliki! Ng'ombe wapo vituoni hakuna anayewapa maji wala majani....