Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,555 Sep 6, 2016 #21 Wakati wanafanya hawakujua yatawakuta ama walifikiri wako baa?
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,035 Reaction score 15,242 Sep 6, 2016 #22 Kusema kweli nilitarajia awamu ya 5 iwe ya uwazi zaidi na demecrasia KUU, p.se magufuli raisi wangu hebu waambie wasaidizi wako waruhusu bunge lirushwe live mkuu.
Kusema kweli nilitarajia awamu ya 5 iwe ya uwazi zaidi na demecrasia KUU, p.se magufuli raisi wangu hebu waambie wasaidizi wako waruhusu bunge lirushwe live mkuu.