Yataka Moyo..............

Yataka Moyo..............

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
185752_10150123402476985_740906984_6641293_344182_n.jpg
Wapi Badra Masoud et al;?
 
Hata mimi sijaelewa vizuri...
kwamba Tanesco is going from bad to worse on the expenses of Tanzanians?
But what about the water? the 'do-once'?
 
Hata mimi sijaelewa vizuri...
kwamba Tanesco is going from bad to worse on the expenses of Tanzanians?
But what about the water? the 'do-once'?
Tuendelee kutafakari Mwali
 
Pamoja na kutafakari, kwangu mimi katuni haileti maana yoyote.
 
hivi hapo hujaelewa nn......

msg ipo hivi....tanesco imebeba mzigo wa dowans,through migongo ya wtz(kode zetu),then pamoja na hayo hakuna unafuu wowote....tunatoka kwenye mgao tunaelekea gizani....
 
Ni vizuri unapotumia katuni ukawa mwangalifu maana inaweza toa tafsiri nyingi kwa mara moja ingawa ni njia bora ya kutoa ujumbe.
 
kweli yataka moyo

dowanzi limetubebesha mzigo kupitia mchovu tanesco
 
Ukiitafakari hiyo katuni wanaofaidika ni dowance na siyo Tanesco wala wananchi, wananchi ndio wanaumia sana na bado hakuna umeme kama ukiwepo ni wa mgao
 
Back
Top Bottom