Yatafakarini haya enyi wazalendo St Joseph

May 5, 2017
94
32
1.Mjumbe hauwawi,

2.Mchochezi ni anayedharau mamlaka za nchi kwa kinywa chake kwa kusema hamtambui Waziri Mkuu bali Waziri wa elimu ndiye atakayemponya mhanga huyu na likitokea hilo atajiuzulu na kurudi kwao!Mfikisha ujumbe kuwa wapo wafanya dharau na uonevu na rushwa sio mchochezi!

3.The culprit hapa ni huyu anayepewa directives na hatekelezi kwa wakati na mtu akihoji kwa serikali yake ya nchi anaadhibiwa kwa kukitia hasara chuo (soma kifungu 4.17 cha by laws uone kama kwa kutuma barua kijana kavunja kipengele hicho au kasukiwa)

4.Wazalendo mnaoangalia hizi na mna mamlaka za kufuatilia /kuinform/kutenda jueni Mkuu wetu wa nchi na serikali yetu pendwa inadharauliwa na ninyi badala ya kutatua matatizo bila kusita mnajaribu kuchunguza tena.

5.Uungwana na uzalendo ni vitendo.

YATAFAKARINI HAYA WANA ST. JOSEPH NA MCHUKUE HATUA KUJINASUA NA PEPO LA UKIMYA NA UNYONGE LINALOWATAFUNA KIMYAKIMYA.

70fb4c11826834c7a853d8147b0c48f8.jpg
5c24cf9a32174557c4bb007059c80975.jpg
Screenshot_2017-05-19-19-04-52.png
Screenshot_2017-05-19-19-05-12.png
 
Ichukueni itawafaa...
1.Mjumbe hauwawi,
2.Mchochezi ni anayedharau mamlaka za nchi kwa kinywa chake kwa kusema hamtambui Waziri Mkuu bali Waziri wa elimu ndiye atakayemponya mhanga huyu na likitokea hilo atajiuzulu na kurudi kwao!Mfikisha ujumbe kuwa wapo wafanya dharau na uonevu na rushwa sio mchochezi!
3.The culprit hapa ni huyu anayepewa directives na hatekelezi kwa wakati na mtu akihoji kwa serikali yake ya nchi anaadhibiwa kwa kukitia hasara chuo (soma kifungu 4.17 cha by laws uone kama kwa kutuma barua kijana kavunja kipengele hicho au kasukiwa)
4.Wazalendo mnaoangalia hizi na mna mamlaka za kufuatilia /kuinform/kutenda jueni Mkuu wetu wa nchi na serikali yetu pendwa inadharauliwa na ninyi badala ya kutatua matatizo bila kusita mnajaribu kuchunguza tena.
5.Uungwana na uzalendo ni vitendo.YATAFAKARINI HAYA WANA ST. JOSEPH NA MCHUKUE HATUA KUJINASUA NA PEPO LA UKIMYA NA UNYONGE.
 
Attachments

  • MUNGU+AWAONGOZE+.pdf
    11.4 KB · Views: 94
Nmeachwa solemba, kwan wat is the topic in summary plz?
Topic ni Rais wa wanafunzi wa St Joseph kusimamishwa masomo kwa kutetea maslahi ya wanafunzi.Aliandika barua rasmi kwenda vyombo vya serikali na ikajibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu lakini wahindi wakasema ameghushi taarifa kwa madhumuni ya kusababisha hasara kwa Chuo.Maana yake ni kwamba Waziri Mkuu ameshughilikia taarifa ya kughushi?Na hapo alinukuu waraka wa serikali ya wanafunzi iliyomtangulia ili kumsihi Waziri asaidie kupush utekelezaji leo hii ndo aambiwe kaghushi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom