Yasemekana wanawake wanapenda waume wenye wanawake Wengine pembeni

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,030
Ni ukweli usiopingika japo wanaweza kuukataa. Mwanaume ukiwa na Mwanamke mmoja tu mpenzi au mke wako anaanza kujiuliza maswali kwanini awe na Mimi tu.

Ukiwa na sms nyingi za wanawake yeye ndyo anafurahia. Ni rahisi Sana Kwa ndoa ambayo amejaza michepuko wengi kwenye simu kudumu kuliko Ile ndoa ambayo mwanaume ni mtakatifu.
 
Wanawake wanataka financial security ndo maana hawapendi kushare sababu kidogo kinaenda kwa wengi.

Ukiwa na pesa nyingi kupitiliza na akawa na uhakika yupo salama kifedha hawana shida ila hatataka umdharau kwa kumwonyeshea wazi wazi kuwa una michepuko.

Kuna mazingira mwanamke anaweza kukufumania ila akatamani usimuone wala kujua kama amekufumania. Pesa nzuri sana.
 
Na Kama huyo mwanamke anajiweza kiuchumi,bado atakuvumilia?🤣🤣🤣
 
Sidhani kama kwangu ni sahihi, nahitaji mwanaume wa kuwekeza mapenzi na hisia kwenye maisha yangu anipe amani ya moyo sio purukushani kila siku
Hakikisha nawewe pia unawekeza mapenzi na hisia kwenye maisha yake pia,,,umpe Amani ya mayo na hakikisha nawe Huna purukushani pia(
Mimi huwa niko hivyo though sijawahi kutana na mwanaume wa aina yangu. Tunashindwana
Ni nani alikuhakikishia na ukaamini ya kuwa huko hivyo??unaweza kuwa hauko hivyo unavyojiaminisha au kuaminishwa ya kuwa uko hivyo??
 
Ni ukweli usiopingika japo wanaweza kuukataa. Mwanaume ukiwa na Mwanamke mmoja tu mpenzi au mke wako anaanza kujiuliza maswali kwanini awe na Mimi tu.

Ukiwa na sms nyingi za wanawake yeye ndyo anafurahia. Ni rahisi Sana Kwa ndoa ambayo amejaza michepuko wengi kwenye simu kudumu kuliko Ile ndoa ambayo mwanaume ni mtakatifu.
Wanawake wenyewe wanakiri kuwa hakuna mwanaume Malaya, ila kuna mwanamke Malaya. Mwanaume ukitembeza moto saana ni Rijali..

View: https://youtube.com/shorts/JwYGB7ZSOWg?si=1NWLakTWEQ9gPJqE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom