YAS 4G & 5G UNLIMITED INTERNET🛜🔥

YAS 4G & 5G UNLIMITED INTERNET🛜🔥

Joined
Aug 4, 2025
Posts
25
Reaction score
14
Screenshot_20250831_074346_X.png
Je, Unahitaji YAS 4G au 5G UNLIMITED Router?
Kwa ajili ya Ofisi au Nyumbani kwako?

Karibu sana tukuhudumie Leo,

📢 YAS 4G+ Pocket Mi-Fi @ 120,000/=
✔️ Kifaa / Pocket ni Tsh. 50,000/=
✔️ Unlimited Mwezi 1 ni Tsh. @ 70,000/=
✔️ Battery (Masaa 6)
✔️ Malipo/Mwezi: 70,000 (10Mbps)
✔️ Vifaa 10 (Simu,Tv , Laptop n.k)
✔️ Umbali: Mita 50 (Open Space)


📢 YAS 5G @ 250,000/=
✔️ Offer Mwezi 1 BURE! Bila kikomo
❌️ Haina Power Bank ya Bure
✔️ Malipo/Mwezi: 70,000 (10Mbps)
✔️ Vifaa 64 (Simu, TV & Laptop n.k)
✔️ Umbali: Mita 150 (Open Space)

NB: Mbps = Mb/s = Speed/Kasi ✔️

#Free installation & Set-Up✔️
#Free delivery Popote Tanzania🇹🇿✔️

Wasiliana nasi leo,
Cc: MOSRI TELEMATICS🌍
☎️ +255717245161
📍DODOMA MJINI
20250901_153524.jpg
 
Fafanua kwenye open space inamaana kusiwe na msongamano wa nyumba ila bei kitonga tutafika ofisini
Screenshot_20250831_074346_X.png


Yes ndio maana pia kuna namba za simu hapo kiongozi,

MOSRI TELEMATICS🌍🛜🔥

Karibu sana, tuulize chochote,
Tuko tayari kukuelekeza na kukufahamisha kila tunachokijua kuhusu huduma zote hizi!

KUTOA ELIMU KWA WATEJA WOTE KABLA YA HUDUMA NI KIPAUMBELE CHETU ZAIDI✅️

Kwa maswali au ukihitaji huduma zetu!
Wasiliana nasi Leo;-
☎️ +255717245161
(SIMU/WHATSAPP)✅️
📍DODOMA MJINI
 
Toa maelezo vizuri nikiweka hiko kifaa ndani siwezi kupata internet nikiwa nje au nikiwa chumba tofauti? Fafanua!
 
Karibu sana
Kuna namba zetu za simu hapo kiongozi,

MOSRI TELEMATICS🌍🛜🔥

Karibu sana, tuulize chochote,
Tuko tayari kukuelekeza na kukufahamisha kila tunachokijua kuhusu huduma zote hizi!

KUTOA ELIMU KWA WATEJA WOTE KABLA YA HUDUMA NI KIPAUMBELE CHETU ZAIDI✅️

Kwa maswali au ukihitaji huduma zetu!
Wasiliana nasi Leo;-
☎️ +255717245161
(SIMU/WHATSAPP)✅️
📍DODOMA MJINI
 
Toa maelezo vizuri nikiweka hiko kifaa ndani siwezi kupata internet nikiwa nje au nikiwa chumba tofauti? Fafanua!
Umbali ni mpaka mita 100 boss!

Hakikisha Kifaa kilipo mpaka Nyumba moja au chumba kingine unakotarajia kufikisha huduma yako isiwe mbali na hapo!

Hii ni muhimu sana kufahamu kwa Mfano watu wa Apartments & Hotel zenye Rooms nyingi au majengo ambayo yako scatterd kwa eneo kubwa utakuta ukienda nje ya hapo vyumba vingine hawapati mtandao

Pia, kwa watu wanaonunua vifaa kisha kwenda kuvifunga sehemu kwa ajili ya kuuza Data kwa watumiaji wa malipo ya siku au masaa kadhaa tu!

IKiwa unataka kufikisha mtandao kutoka kwenye router hii ikiwa point A na mtumiaji mlengwa yuko point B ambapo ni zaidi ya mita 100 hizo

Itakuhitaji kuwa na kifaa ambacho ni nje ya hii Roiter

Inaitwa Wi-Fi Extender🛜🔥✅️
Hapo sasa ndo utaamua wewe unahitaji ya uwezo wa mita ngapi na ya Brand gani ( Mfano Curdy n.k ) utaiongeza on top of this YAS 5G ROUTER au ROUYER yako yoyote uliyonayo na ikawa haina uwezo wa kurusha mawimbi yake mbali na mita hizo 100

Sijui kwa hapo nimeeleweka?
☎️+255717245161
📍DODOMA MJINI
20250901_153500.jpg
 
Screenshot_20250831_074346_X.png


Naomba Tuelewane hapa!

Kuna Obstacles zinaweza kufanya transmission (Usafirishaji na usambazaji wa Network ya Wi-Fi yako kuwa hafifu)

Moja wapo ni Msongamano wa majengo yenye kuta nene , mabonde & Miinuko (Milima milima) n.k

(Ndio maana hata ukienda pale Kariakoo masoko/maduka ya chini Mtandao wa mitandao mingi ya kawaida hata kwa kupiga na kupokea simu ni wa shida mno! / Unapatikana kidogo sana ukiwa kule underground)

Hivyo basi,
hata huku kwenye Wi-Fi,
Vitu kama hizo hizo pia,
Zinaweza changia katika kupunguza umbali ambapo unaweza access mtandao wa Router yako kwa maeneo tofauti tofautiiiii

KARIBUNI SANA,
☎️+255717245161
📍DODOMA , TANZANIA
 
Back
Top Bottom