Wgr30 JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,770 Reaction score 2,387 Oct 12, 2017 #21 mimi kinachonikera humu JF ni member kutumia maneno haya, vepee jomon tyu kwendraaa ongeza na mengine.
mimi kinachonikera humu JF ni member kutumia maneno haya, vepee jomon tyu kwendraaa ongeza na mengine.
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,589 Reaction score 3,639 Oct 12, 2017 #22 Naichukia sana JF baada ya kuona uwezo/kiwango cha watu mahiri katika kutoa mada (chakula ya Ubongo) kupungua kama si kupotea kabisa...! Tumebaki na Jembe moja tu Mshana Jr...
Naichukia sana JF baada ya kuona uwezo/kiwango cha watu mahiri katika kutoa mada (chakula ya Ubongo) kupungua kama si kupotea kabisa...! Tumebaki na Jembe moja tu Mshana Jr...
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,008 Reaction score 9,408 Oct 12, 2017 #23 Matola said: Nani alikudanganya kwamba humu hatujuwani? Click to expand... Wewe unanijua mimi!????,,
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,008 Reaction score 9,408 Oct 12, 2017 #24 Castr said: Kwahiyo unamjua uliyemquote? Click to expand... Jamaa anazingua tu, mimi binafsi hakuna hata mmoja ninaejuana nae humu ki uhalisa zaidi ya IDs tunazotumia humu....
Castr said: Kwahiyo unamjua uliyemquote? Click to expand... Jamaa anazingua tu, mimi binafsi hakuna hata mmoja ninaejuana nae humu ki uhalisa zaidi ya IDs tunazotumia humu....
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,581 Oct 12, 2017 #25 Times9 said: Jamaa anazingua tu, mimi binafsi hakuna hata mmoja ninaejuana nae humu ki uhalisa zaidi ya IDs tunazotumia humu.... Click to expand... Ina maana huko mtaani mnajuwana wote? Mbona JF huwa tunafanya party au wewe wa juzi?
Times9 said: Jamaa anazingua tu, mimi binafsi hakuna hata mmoja ninaejuana nae humu ki uhalisa zaidi ya IDs tunazotumia humu.... Click to expand... Ina maana huko mtaani mnajuwana wote? Mbona JF huwa tunafanya party au wewe wa juzi?
J jambo Tanzania JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 377 Reaction score 281 Oct 12, 2017 #26 Upendeleo
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,008 Reaction score 9,408 Oct 12, 2017 #27 Matola said: Ina maana huko mtaani mnajuwana wote? Mbona JF huwa tunafanya party au wewe wa juzi? Click to expand... Wewe unawajua wote wa humu JF!?
Matola said: Ina maana huko mtaani mnajuwana wote? Mbona JF huwa tunafanya party au wewe wa juzi? Click to expand... Wewe unawajua wote wa humu JF!?
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Oct 12, 2017 #28 Sahivi nimesahau nikikimbuka nitarudi
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Oct 12, 2017 #29 NAHUJA said: Mie kinachonikera pale members wa humu wanavyomsakama mtani wangu Joseverest eti anakuwa wa kwanza ku reply kwani ni kosa! halafu mtu akiwahi siti anasema "nimewahi seat ya Joseverest. hahahahhaaahahahha Click to expand... Yaaani acha tu mtani, wanakera balaa...akifika hapo anasema ngoja niwahi seat utadhani ni mashindano
NAHUJA said: Mie kinachonikera pale members wa humu wanavyomsakama mtani wangu Joseverest eti anakuwa wa kwanza ku reply kwani ni kosa! halafu mtu akiwahi siti anasema "nimewahi seat ya Joseverest. hahahahhaaahahahha Click to expand... Yaaani acha tu mtani, wanakera balaa...akifika hapo anasema ngoja niwahi seat utadhani ni mashindano
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Oct 12, 2017 #30 Lovely mum said: Kaka hujamaliza kusemaaa sema yoooote Click to expand... Yapo mengi kiukweli...
mango g JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 517 Reaction score 215 Oct 12, 2017 #31 Wgr30 said: mimi kinachonikera humu JF ni member kutumia maneno haya, vepee jomon tyu kwendraaa ongeza na mengine. Click to expand... pole jomoni
Wgr30 said: mimi kinachonikera humu JF ni member kutumia maneno haya, vepee jomon tyu kwendraaa ongeza na mengine. Click to expand... pole jomoni
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Oct 12, 2017 #32 Joseverest said: Yaaani acha tu mtani, wanakera balaa...akifika hapo anasema ngoja niwahi seat utadhani ni mashindano Click to expand... Kumbe huwa wanakukera msela wangu
Joseverest said: Yaaani acha tu mtani, wanakera balaa...akifika hapo anasema ngoja niwahi seat utadhani ni mashindano Click to expand... Kumbe huwa wanakukera msela wangu
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Oct 12, 2017 #33 Shadrack K. Lwila said: Kumbe huwa wanakukera msela wangu Click to expand... Ndio aisee shedede
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Oct 12, 2017 #34 Shadrack K. Lwila said: Kumbe huwa wanakukera msela wangu Click to expand... Verified User✓✓✓✓
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Oct 12, 2017 #35 Joseverest said: Verified User✓✓✓✓ Click to expand... Hakika msela wangu pamoja sana.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Oct 12, 2017 #36 Shadrack K. Lwila said: Hakika msela wangu pamoja sana. Click to expand... Fresh sana kiongozi