Moja ya vitu nisivyo vipenda na vinavyokera kwa baadhi ya member humu JF, nikuquote uzi mrefu hadi mtu unaingiwa na uvivu wakupitia comment..sasa sijui ni ushamba au nini
shusha mambo yanayo kukera humu JF ili wanaofanya ivo wajirekebishe
Mie kinachonikera pale members wa humu wanavyomsakama mtani wangu Joseverest eti anakuwa wa kwanza ku reply kwani ni kosa! halafu mtu akiwahi siti anasema "nimewahi seat ya Joseverest. hahahahhaaahahahha