Afisa_Nkai
Senior Member
- Jul 5, 2025
- 183
- 273
😂😂Kuanzia 2014 kwenda juu je hawasomi kwa bidii na kujituma?Elimu ya kwel na kujituma kusoma kuliishia miaka ya 2013 kushuka chini
Kwa level zote za Elimu
Mimi nlmemaliza 2015 form 4 hapo Elimu ilkuwa imeanza chakachuliwa😂😂Kuanzia 2014 kwenda juu je hawasomi kwa bidii na kujituma?
Mbona huna tofauti sana na hao madogoyaan uisomi
Ndo maan nmesema Elimu iliishia 2013Mbona huna tofauti sana na hao madogo