Yapi matumizi sahihi ya p2?

P2 hata ukiduu Leo ukameza kesho kutwa zinafanya kaz
Mpenzi yeye alifanya tendo ucku wa kuamkia Jana kwahiyo Jana ndio kameza kimoja mchana chapili alikuwa anameza saa tisa ucku kajisahau kashtuka saa 12 alfajiri akameza kwahiyo hapo kapitisha masaa Kama mawili nasehemu ndio kameza kidonge cha pili au arudie dozi ingine????
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtajua hamjui
 
Cha kwanza tu kilishamsaidia tayari...yaan wala asijitie hofu.Ila kama ana mawazo ya kuzaa mbeleni ...P2 at least Mara 2 kwa mwaka.Mara kwa Mara zaunguza mayai utakapotaka mtoto utashika wachawi kumbe mwanga mwenyewe
 
Unajitahid kumfariji...mwambie ukweli
 
Kabla ya show p2 haihusiki...P2 inahusika kuzuia mbegu zako zikiingia zisitunge yai....zibaki kuzurura huko zikichoka zinatoka zenyewe.
Inaonesha wewe ni expert level wa hizo shughuli😅
 
Cha kwanza tu kilishamsaidia tayari...yaan wala asijitie hofu.Ila kama ana mawazo ya kuzaa mbeleni ...P2 at least Mara 2 kwa mwaka.Mara kwa Mara zaunguza mayai utakapotaka mtoto utashika wachawi kumbe mwanga mwenyewe
Hajawahi tumia ndio mara ya kwanza asanteee mpenzi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] nashukuru kwa ushauri wako mzuri MUNGU AZIDI KUWA NAWE.
 
Hajawahi tumia ndio mara ya kwanza asanteee mpenzi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] nashukuru kwa ushauri wako mzuri MUNGU AZIDI KUWA NAWE.
Jipe moyo...subiria wiki mbele baadae
 
Yeah,,,coz nafanya kwa nadra so ndo uzazi wangu wa mpango kaka tangu ujana wangu mpaka uzee huu na nimejaaliwa watoto wawili
Yani miaka 30 ushajiita mzee? 😅 Hebu acheni matumizi mabaya ya hilo neno
 
Subir ajifungue mtoto kipande, kama unaogopa mimba afanye ngono salama

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Huwa unameza vyote kwa pamoja!!![emoji124]
Kwahiyo unashauri arudie dozi??? Maana alienda hospital ndio wakamuambia atumie kimoja baada ya masaa 12 amalizie kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…