Yapi matatizo ya kawaida katika mapenzi/ndoa?

Yapi matatizo ya kawaida katika mapenzi/ndoa?

SHADOWANGEL

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
528
Reaction score
353
Siku zote nilikuwa nausiwa usioe mwanamke mpole na kutolewa na mifano kaza wa kaza kuonyesha mwanamke mpole sio mzuri kuoa,

Naamini katika Mapenzi/ndoa kuna matatizo ambayo ni kawaida kukutana nayo au naweza Sema ni common problems kwa mwanamke au mwanamme kuyakuta kwa mwenzi wake.

Matatizo gani ambayo umekuwa ukiyaona toka kwa mpenzi wako wa kwanza mpaka wa sasa.(common problems)

Tushare pamoja kwa tupate elimu tunaokaribia ndoa.

Jumapili Njema.
 
Tangu tatizo likasifishwa na kuitwa la kawaida???
 
Kuchepuka ndio tatizo kubwa kwa uthibitisho endelea kuchepuka

huu ni ushauri wa bure
 
Tangu tatizo likasifishwa na kuitwa la kawaida???

Kuna matatizo ambayo yanafanana katika mapenzi/ndoa ambayo tunasema kwa lugha ya kigeni common problems mfano ni kwa wanawake wapole wana reaction ambazo zinafanana sana
 
tatizo kuu katika mahusiano na ndoa kwa ujumla ni kukosekana kwa uaminifu/kusalitiana
 
Back
Top Bottom