Yapi matatizo ya kawaida katika mapenzi/ndoa?

Yapi matatizo ya kawaida katika mapenzi/ndoa?

Hata km nafanya kazi huwajibiki,utasugua kiatu sana kuniweka utakavyo.

Atapresdar anatoa mkwanja kwa wife wewe ata bibilia imeandikwa lazma mume alekwajasho na mke atotoe kwa uchungu sasa usipotoa mkwanja kunamasela watatoa apo ndio akili itakukaa kumkichwa
 
Atapresdar anatoa mkwanja kwa wife wewe ata bibilia imeandikwa lazma mume alekwajasho na mke atotoe kwa uchungu sasa usipotoa mkwanja kunamasela watatoa apo ndio akili itakukaa kumkichwa

Swala la hela ni makubaliano mkuu apa nafikiri ili swala gumu mke hela zake zinafanya nini..... Ka ni ivyo tutagawana majukumu
 
kwannn anibhanie mbunye kwan sijailipia ahaaa pata chimbikabunye nitamu asikwambie mtu aiseeee mimi huwa,nikiiona huwa,ataakisema nipe laki kwaza namwambia kwenye walllet akiliinakuwa desapead

Ahaa umenifuraisha sanaa sanaa
 
Back
Top Bottom