The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,110
Okwakat nipo nyokaa (under 13) niliambiwa ndimu na limao vinapunguza damu mwilini...
nadhani hapa nitapata majibu sahihi zaidi....
Sawa sawaKula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.
Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Dah....kikemia alkaline na acid zinapokuwa balanced ni pH 7... neutral....na ukichanganya alkaline na acid unapata chumvi na maji....mjue mnatuchanganya sana [emoji2960]Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.
Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Wakuu salamu
Kama heading inavyoelezea hapo, naomba kujua madhara ya kutumia malio au mandimu kwa kiwango kikubwa.
Nawasilisha
Unataka kusema limao zinazuia kunenepa? Kwa baadhi ya watu lkn, me nakula limao utadhani ni tunda lileNipo shule sekondali kulikuwa na malimao mengi na pili pili kipindi icho basi unajua misosi ya shule tena, kama jela miaka mpaka na maliza na mpaka leo maishani mwangu sijawahi kunenepa wala kuongezeka japo bia sana na kitimoto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unataka kusema limao zinazuia kunenepa? Kwa baadhi ya watu lkn, me nakula limao utadhani ni tunda lile
Hivi ndani ya limao kuna alkali (base) au kuna acid?Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.
Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Ooh! I should stop ASAP... Kuna kipindi nilistop kabisa kula malimao baada ya mtu mmoja kuniambia yanatasababisha damu iwe nyepesi. Baada ya kuacha niliongezekalimao inapunguza mafuta sana mpaka yale utakayo kuwa nayo akiba.hata pili pili nayo ndo maana nchi kama china,india matumizi mengi ya hivi vitu ukichanganya na viungo uwezi kuwa na mihili kama ya kwetu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna kitu cha namna hiyowakat nipo nyokaa (under 13) niliambiwa ndimu na limao vinapunguza damu mwilini...
nadhani hapa nitapata majibu sahihi zaidi....
Malimao na ndimu si yana Citric Acid kwa wingi? How comes Alkalosis?Kula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.
Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Ooh! I should stop ASAP... Kuna kipindi nilistop kabisa kula malimao baada ya mtu mmoja kuniambia yanatasababisha damu iwe nyepesi. Baada ya kuacha niliongezeka
Sahivi nimeanza tena, na wananchi wanaonizunguka washaanza kuniambia napungua.
Mwisho jioni hii nimekula limao lizima kabisa
Safi sanaKula malimao na ndimu kupita kiasi kutapelekea damu yako kuwa na alkaline nyingi (alkalosis). Mwili wa binadamu unatakiwa katika balanced level, kuwa kwenye kiwango sawa acid wala alkaline isizidi.
Alkalosis inaleta matatizo kwenye mapafu wakati wa gas exchange pia inasababisha madhara kwenye figo wakati wa kuchuja damu.
Wewe utakuwa unatengeneza Visceral Fat...Fat depostion ya ndani ambayo hainekani kwa nje.nipo shule sekondali kulikuwa na malimao mengi na pili pili kipindi icho basi unajua misosi ya shule tena, kama jela miaka mpaka na maliza na mpaka leo maishani mwangu sijawahi kunenepa wala kuongezeka japo bia sana na kitimoto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hakuna kitu kama hicho.....limao inapunguza mafuta sana mpaka yale utakayo kuwa nayo akiba.hata pili pili nayo ndo maana nchi kama china,india matumizi mengi ya hivi vitu ukichanganya na viungo uwezi kuwa na mihili kama ya kwetu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe utakuwa unatengeneza Visceral Fat...Fat depostion ya ndani ambayo hainekani kwa nje.
Ndio maana unaweza shangaa mbona fulani ni mwembamba lakini kapata kisukari na Hypertension?
Chukua taadhari