Yapendeza/ inafaa shemeji alooa Dada yako na ana watoto kumhudumia?

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,143
5,610
Habari wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea, inapendeza/ inafaa kwa shemeji alooa Dada mtu kumlisha?, kutokana na yeye masuala ya kipato chake cha kibarua kumuendea kombo , kwahiyo hali yake ikawa sio nzuri kifedha je inapendeza kwa kumlea yeye pamoja na familia yake?

Karibuni sana tupeane maarifa, japo uandishi wangu wa leo sijaupangilia vizuri nawaombeni radhi kwa hilo.

By

Young

Dimaa.
 
sio mbaya kama iko ndani ya uwezo wako, ila inabidi yeye mwenyewe ajishtukie na kutafuta kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato.
 
Habari wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea, inapendeza/ inafaa kwa shemeji alooa Dada mtu kumlisha?, kutokana na yeye masuala ya kipato chake cha kibarua kumuendea kombo , kwahiyo hali yake ikawa sio nzuri kifedha je inapendeza kwa kumlea yeye pamoja na familia yake?

Karibuni sana tupeane maarifa, japo uandishi wangu wa leo sijaupangilia vizuri nawaombeni radhi kwa hilo.

By

Young

Dimaa.
Kiswahili chako kigumu sana kukielewa mkuu.

Labda wenye PhD za lugha ya kiswahili wanaweza kuelewa ulichomaanisha maana binafsi sijaelewa kitu.
 
Ndo mana nikaomba radhi, nikutokana na uchache wa mda kwahiyo ilinibidi nitype harakaharaka, nikajikuta sijapangilia katika mlolongo mzuri.
 
inafaa sana kama una uwezo wa kuwasaidia na Mungu atazidi kukubariki sana pale unapotoa wasaidie kwa roho moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom